Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimpigie kabisa akusugue mpaka uombepo!Hii comment mine wangu asiione aendelee tu kukimbia 😂
Nyie jamaniii ubwabwa na mandondo(maharage)mtamuuu ujuee hasa kiporo uuwwii na chai ya rangi yenye tangawizi,.lol
Siri gani mkuu hapa nilipo nachezea 115.Hii ndio siri ilinifanya nikapungua kutoka kilo 78 mpk 65 kwa miezi 4 tuu.
Now nimemaintain kwenye 65~67kg.
Mimi nakuzaliana na wewe asilimia Mia. Mbili ujuwe umasikin na vifo pamoja na. Dhambi ni kula chakula. Pasipo mpango. Mtu mmoja akasema sumu ktk sufuria akimanisha masufuria na misosi inapikwa ndio sumu ya uwepo wetu na hata umasikini.Umeshawahi kukusanya zile chapati mbili na supu unaanzia kama kifungua kinywa asubuhi
Ugali, wali au makande mchana
Wali jioni.
Ukuvikusanya vyote pamoja utaona mlima wa chakula unao ingia mwilini mwako kila siku. Kwa wale wanywa pombe kuna calories za pombe hapo juu yake.
Mahitaji yako ya mwili ya siku yanaweza kuwa ni Robo tu ya mlima wa chakula unaokula. Lakini tumbo limesha tanuka na ili lijae unahitaji 1/2 ya mchele jioni.
Kupunguza portion ya chakula ni njia moja wapo kama hutaki unene pia kuongeza unywaji wa maji.
Tehee we madam utakuwa unapiga kweli ndondo mana kila nyuzi kama hizi unalalamika hivi hivi.Nyie jamaniii ubwabwa na mandondo(maharage)mtamuuu ujuee hasa kiporo uuwwii na chai ya rangi yenye tangawizi,.lol
Maajabu ganii mkuuMimi nakuzaliana na wewe asilimia Mia. Mbili ujuwe umasikin na vifo pamoja na. Dhambi ni kula chakula. Pasipo mpango. Mtu mmoja akasema sumu ktk sufuria akimanisha masufuria na misosi inapikwa ndio sumu ya uwepo wetu na hata umasikini.
Mimi nimeona hili na kusema kweli napika mchele kikmbe kidogo nakula asubu mpaka saa 12 jion na sili tena kiukweli naona maajabu
Kufunga pia kunasaidia sana, ukitoa siku mbili za wiki kuacha kula mchana ni nzuri kwa afya ya roho kama unasali pia afya ya mwili na akili.Mimi nakuzaliana na wewe asilimia Mia. Mbili ujuwe umasikin na vifo pamoja na. Dhambi ni kula chakula. Pasipo mpango. Mtu mmoja akasema sumu ktk sufuria akimanisha masufuria na misosi inapikwa ndio sumu ya uwepo wetu na hata umasikini.
Mimi nimeona hili na kusema kweli napika mchele kikmbe kidogo nakula asubu mpaka saa 12 jion na sili tena kiukweli naona maajabu
Kwa kunipatia haujambo!! Hii ni mmoja ya favorite meal zangu!!! Wali usikose nazi hope you know na maharage pia.Nyie jamaniii ubwabwa na mandondo(maharage)mtamuuu ujuee hasa kiporo uuwwii na chai ya rangi yenye tangawizi,.lol
Hii comment fupi, lakini nimecheka sana 😂😂😂Msituchoshe, tembo anaishi umri mrefu kuliko sungura.
Kula wali jioni ni shida aisee. Kitambi hakiwezi kuondoka
Unazijua hizi terminology?Msituchoshe, tembo anaishi umri mrefu kuliko sungura.
Napenda sana ndondo asee,..Tehee we madam utakuwa unapiga kweli ndondo mana kila nyuzi kama hizi unalalamika hivi hivi.
Leo nimekula sana usiku huu,asubuhi naamkia 4KM sprint nanyoosha naangalia mambo menginee
Hii comment mine wangu asiione aendelee tu kukimbia 😂