Hiyo sababu haina mashiko kabisa, tatizo ni ile unakula hayo yote harafu unakaa kizembe tu unaanika miguu kwenye kocho kuangalia sultan
Kukimbia huwez, hata mpira huchez, kuruka kamba huwez, unajaza mafuta na gesi mwilini tu, unaota kitambi hata hujiwezi kitandani 6x6 mkeo nachapiwa na wajanja,
Wanaume wa dar ndii mpo hivo mmelegea sanaa

Mazoezi yanaimarisha mwili lakini ni 20% ya kupunguza uzito. Chakula unachokula ni 80% kinachangia uzito wa mwili.Niliwahi kumsikia mlevi mmoja akisema. 'kitambi hakina formula'
Binafsi naamini kuwa adui wa kitambi ni kufanya mazoezi.
Kula wali jioni ni shida aisee. Kitambi hakiwezi kuondoka
by the way mwili unatengenezwa nilipata bahati ya kutumika vilivyo when i was youngUna digestion nzuri inawezekana kutokana na umri wako. Kwa vijana mabadiliko ya mwili (homornal changes) yanakula sana energy
Umeshawahi kukusanya zile chapati mbili na supu unaanzia kama kifungua kinywa asubuhi
Ugali, wali au makande mchana
Wali jioni.
Ukuvikusanya vyote pamoja utaona mlima wa chakula unao ingia mwilini mwako kila siku. Kwa wale wanywa pombe kuna calories za pombe hapo juu yake.
Mahitaji yako ya mwili ya siku yanaweza kuwa ni Roho tu ya mlima wa chakula unaikula. Lakini tumbo limesha tanuka na ili lijae unahitaji 1/2 ya mchele jioni.
Kupunguza portion ya chakula ni njia moja wapo kama hutaki unene pia kuongeza unywaji wa maji.