Sababu ya vitambi ni kula chakula kingi kupita mahitaji yetu.

Mimi nakuzaliana na wewe asilimia Mia. Mbili ujuwe umasikin na vifo pamoja na. Dhambi ni kula chakula. Pasipo mpango. Mtu mmoja akasema sumu ktk sufuria akimanisha masufuria na misosi inapikwa ndio sumu ya uwepo wetu na hata umasikini.

Mimi nimeona hili na kusema kweli napika mchele kikmbe kidogo nakula asubu mpaka saa 12 jion na sili tena kiukweli naona maajabu
 
Maajabu ganii mkuu
 
Kufunga pia kunasaidia sana, ukitoa siku mbili za wiki kuacha kula mchana ni nzuri kwa afya ya roho kama unasali pia afya ya mwili na akili.
 
Kula wali jioni ni shida aisee. Kitambi hakiwezi kuondoka

hamn wali sio hivyo kula wali jioni sio sababu ya vitambi...kula calories nyingi kuliko unazotumia ndio usababisha kitambi.
wabeba zege na wachimba mitaro kila leo wanakula wali lakini hawana vitambi
 
Mimi ucku nakula matunda tu,siingizi chakula chochote tumboni mwangu zaidi ya matunda ucku
 
Msituchoshe, tembo anaishi umri mrefu kuliko sungura.
Unazijua hizi terminology?
1. Surface area to volume ratio
2. Body mass index (mass/(height)square)BMI.
Mtu mwenye afya anatakiwa awe na BMI (18.5 - 24.9)kg/meter square.
 
Hii comment mine wangu asiione aendelee tu kukimbia πŸ˜‚

Ndio maana napenda sana wild sex mie..!! Pombe yangu ni sex, naona nimefanya mazoezi ya kila kitu yaani..πŸ˜˜πŸ’–πŸ˜‹πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…