Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Yay i know,.wali nazi na kachumbari ya tango isikose ndimu jomoniii na harage shatashata mashaallah😋Kwa kunipatia haujambo!! Hii ni mmoja ya favorite meal zangu!!! Wali usikose nazi hope you know na maharage pia.
Hata kwa mm pia iliwahi kuwork,.kwa mwaka nadhani nilikuwa nasex siku 240 na nilikuwa nakula very rough na sikuwahi kunenepa,.tofauti na sasa naweza kaa mwaka sijui dudu nadhani hii imenifanya nimegain uzito daah!!!Nasikia kusex sana kunapunguza unene kwa mwanaume, sbb utatumia calories nyingi, hivyo kusaidia kupunguza extra calories za kunenepeana.. Au😀
Hujachelewa anza sasaHata kwa mm pia iliwahi kuwork,.kwa mwaka nadhani nilikuwa nasex siku 240 na nilikuwa nakula very rough na sikuwahi kunenepa,.tofauti na sasa naweza kaa mwaka sijui dudu nadhani hii imenifanya nimegain uzito daah!!!
Mmhh...!!!Hujachelewa anza sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yay i know,.wali nazi na kachumbari ya tango isikose ndimu jomoniii na harage shatashata mashaallah[emoji39]
😋😋[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwa mm pia iliwahi kuwork,.kwa mwaka nadhani nilikuwa nasex siku 240 na nilikuwa nakula very rough na sikuwahi kunenepa,.tofauti na sasa naweza kaa mwaka sijui dudu nadhani hii imenifanya nimegain uzito daah!!!
Unaempenda lazima atajua sex
Sisi sex ni feelings mpaka umetunukiwa wewe ni special. Tena awe msafi maana sex na mtu amaenuka mdomo au kwapa ina turn off the moodUnajua sie wanaume kuna wakati tunanunua sex ila hatupendi, hapo ndio huta enjoy ila unakata kiu na hamu kidogo unaondoka zako... Ila ikiwa ni kipenda roho hapo ndio uzito utapungua kabisa na itakuwa ni zoezi tosha.. Double benefits, kukata calories na uzito, wakati huo huo ni mazoezi ya kutosha yaani, maana unakuta usiku kucha au mchana kutwa au siku kadhaa mko mna enjoy lazima kitambi kiondoke ukijituma kisawa sawa
Sisi sex ni feelings mpaka umetunukiwa wewe ni special. Tena awe msafi maana sex na mtu amaenuka mdomo au kwapa ina turn off the mood
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji39][emoji39]
Mhhhh, siku 240? Ulkuwa kalafi wewe mama? Ila unaweza kurudia tena siyo mbaya! Ina maana huyo akiyekuoa hajui hayo makitu?Hata kwa mm pia iliwahi kuwork,.kwa mwaka nadhani nilikuwa nasex siku 240 na nilikuwa nakula very rough na sikuwahi kunenepa,.tofauti na sasa naweza kaa mwaka sijui dudu nadhani hii imenifanya nimegain uzito daah!!!
Hahaha mama mahunjumati, aisee kweli na miss vitu vingi vizuriYay i know,.wali nazi na kachumbari ya tango isikose ndimu jomoniii na harage shatashata mashaallah😋
Asante!!!Hata kwa mm pia iliwahi kuwork,.kwa mwaka nadhani nilikuwa nasex siku 240 na nilikuwa nakula very rough na sikuwahi kunenepa,.tofauti na sasa naweza kaa mwaka sijui dudu nadhani hii imenifanya nimegain uzito daah!!!
Mimi mwenyewe nmefail kuondoa kitambi kwa sababu nashindwa kuacha misosi Kama hii.Nyie jamaniii ubwabwa na mandondo(maharage)mtamuuu ujuee hasa kiporo uuwwii na chai ya rangi yenye tangawizi,.lol