Sababu ya wananchi kupinga uwekezaji ni usiri wa mikataba

Sababu ya wananchi kupinga uwekezaji ni usiri wa mikataba

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
"Kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu,Kule Serengeti na kwingine kuna aina za madini zimegundulika. Lakini TANAPA waligoma kabisa yasichimbwe ili kutunza uhifadhi. Lakini nataka sasa yachimbwe. Simba na tembo hawali madini."

Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania.

Screenshot 2024-07-19 142927.png

Raisi tunaomba uelewe hili. Usiri ndiyo tatizo kuanzia bandari, misitu hadi KIA wanaojua mkataba ni nyie tu. Sasa tutapata vipi imani na uwelezaji wa hivi?
 
Raisi tunaomba uelewe hili. Usirisiri ndiyo tatizo kuanzia bandari, misitu hadi KIA wanaojua mkataba ni nyie tu🤔 sasa tutapata vipi imani na “ uwelezaji” wa hivi
Yakiongezeka mashimo hifadhini tutatengeneza aina mpya ya utalii wa wanyama wanao ishi ndani ya mashimo kama fisi hasa wale adimu wa madoa doa na jamii nyingine.
 
Raisi tunaomba uelewe hili. Usirisiri ndiyo tatizo kuanzia bandari, misitu hadi KIA wanaojua mkataba ni nyie tu🤔 sasa tutapata vipi imani na “ uwelezaji” wa hivi
Kanuni ni ile ile ..Ukiona unafichwa ujue unapigwa
 
Uwekezaji ni Uwekezaji tu sisi Wananchi tuangalie Ajira ziwe za kutosha.
 
Back
Top Bottom