Sababu ya wastaafu wengi kuishi maisha magumu baada ya kustaafu

Utaratibu wa kulipa pensheni yote kwa mkupuo sio mzuri sana.
Na pensheni kiasi chote kinatakiwa kuhesabika kwa mstaafu akiwa hai, akiwa ametangulia basi next of kin waweze kukomboa kiasi chote kilichobaki.
Tofauti na hapo ni utapeli wa serikali kwa watumishi wake.
 
Wafanyakazi wengi hawana elimu ya fedha.

Wakiajiriwa wanakopa hela halafu wana nunua gari wana ipaki kuanzia asubuh mpaka jioni huku inadai mafuta na service costs na hela inakatwa.

Lakini pia wafanyakazi wengi hawajishughulishi na bussness yoyote wakistaafu wanapoteza hela kwenye biashara ambazo hawajawahi kufanya.

Elimu ya fedha ni tatizo kwa watumishi wengi sana.
 
Tatzo sana mkuu. Watu wapewe hela zao tena ikiwezekana muda wowote wanaoitaka si zao bwana.
 
Unajenga nyumba ama unafungua biashara ambayo huna uzoefu nayo, upweke bagoshaa ni Jambo la muda TU.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Kama sio utaratibu nzuri kwa nini Kanda zingine hakuna kikokotoo ? ,je wao wanajua kupanga matumizi kuliko wengine ?huoni Kuna upendeleo wa kikokotoo kwa baadhi ya kanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…