luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kongole kwa research yako ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni usemi usemao mshahara wa dhambi ni mauti kwa hiyo wanalipwa haki yaoKatika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo,
Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia video chafu kama kielelezo, matokeo yake hata miitikio wakati wa tendo imekuwa ikiendana sana na yale wanayotazama, katika mazungumzo yangu na mzee mmoja (jina limehifadhiwa) alisema "siku hiyo alikuta nimejiandaa kweli kweli, kuna wakati alizidiwa akanikumbatia kwa nguvu mpaka nikakosa pumzi" pia nilipozungumza na wengine nao kwa vipindi tofauti tofauti walikiri kukutana na hali kama hiyo, hivyo nikagundua kuwa hawa wazee 75+ huwa wanakutana na roba za mbao huko sirini zinazopelekea wao kukosa pumzi hivyo kufariki.
Ushauri wangu kwa wazee: mnapokula mafao muwe makini na maandalizi yenu yasiwe ya kupitiliza, mfano madawa ya kuongeza nguvu ilimradi umridhishe binti wa watu, anakuja anaridhika anakukaba unakufa.
Mabinti: mnapokuwa na wazee wetu muwe mnawahurumia, hizi habari za kung'ang'ania wazee muache, wanaoweza kuvumilia vituko vyenu (kung'ata meno, roba za mbao kutetemeka kama simu) ni vijana wenzenu.
Fainali uzeeni ila wazee wenyewe wanakabwa sana.
Nawakilisha