Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

Elimu yetu ina waathirika wengi sana. Wewe na hao wenye mawazo kama yako mna choice moja: kufanya kazi kwa bidii, kuacha ufisadi ili tujitegemee au kuendelea kujifanya mnajua kupepeta mdomo.
 
Wewe umetumia teknolojia gani kubaini kwamba huo mchele una madhara miaka mitano ijayo?
Mbona kondom, simu, neti za mbu, ARV tunazitumia na hamuweki neno juu ya hayo?
Tuache uzalendo uchwara, halafu hili la kusema kupokea misaada ya US ndiyo kukubali ushoga ni jambo la kishamba sana, Unguja Kuna ushoga zaidi ya bara,kwahiyo Unguja wanapokea sana misaada kutoka kwa wazungu kuliko bara?
 
Walete msaada mwingine lakini si kwa namna hiyo kwani chakula tunacho cha kutosha na hatujawaomba msaada wa namna hiyo.

Waziri kafanya jambo zuri kuukataa msaada huyo . Wasije wakatuchanganyia na virutubisho vya ushoga.
Author hoja yake imejikita kwenye accessibility ya hicho mnachosema kipo Cha kutosha( availability)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…