Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

W nae avha mihemko ya kizuzu, unaongea mambo dhaifu sana, mzungu akuletee msaada wa lishe hali ya kuwa bado anakuita nyani? Sisi bado tupo nyuma masana, hatuwezi kubaini vitu vyenye madhara ya muda mrefu, hata huo mchele unamadhara ya muda mrefu ndio maana wamewalenga wanafunzi ili mika mitano au kumi plus ndipo mtaanza kuona madhara.

Wapuuzi wachache kama nyie ndio mnao tetea ujinga na ushoga unaoletwa na wazungu.
Elimu yetu ina waathirika wengi sana. Wewe na hao wenye mawazo kama yako mna choice moja: kufanya kazi kwa bidii, kuacha ufisadi ili tujitegemee au kuendelea kujifanya mnajua kupepeta mdomo.
 
W nae avha mihemko ya kizuzu, unaongea mambo dhaifu sana, mzungu akuletee msaada wa lishe hali ya kuwa bado anakuita nyani? Sisi bado tupo nyuma masana, hatuwezi kubaini vitu vyenye madhara ya muda mrefu, hata huo mchele unamadhara ya muda mrefu ndio maana wamewalenga wanafunzi ili mika mitano au kumi plus ndipo mtaanza kuona madhara.

Wapuuzi wachache kama nyie ndio mnao tetea ujinga na ushoga unaoletwa na wazungu.
Wewe umetumia teknolojia gani kubaini kwamba huo mchele una madhara miaka mitano ijayo?
Mbona kondom, simu, neti za mbu, ARV tunazitumia na hamuweki neno juu ya hayo?
Tuache uzalendo uchwara, halafu hili la kusema kupokea misaada ya US ndiyo kukubali ushoga ni jambo la kishamba sana, Unguja Kuna ushoga zaidi ya bara,kwahiyo Unguja wanapokea sana misaada kutoka kwa wazungu kuliko bara?
 
Walete msaada mwingine lakini si kwa namna hiyo kwani chakula tunacho cha kutosha na hatujawaomba msaada wa namna hiyo.

Waziri kafanya jambo zuri kuukataa msaada huyo . Wasije wakatuchanganyia na virutubisho vya ushoga.
Author hoja yake imejikita kwenye accessibility ya hicho mnachosema kipo Cha kutosha( availability)
 
Back
Top Bottom