Zanzibar tatizo kubwa ni udini. Bila kuwa yakhe hutoboi mbona Zitto Kabwe amepokelewa huko? Udini.Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Tanganyika inatosha Zanzibar watafanya wengine wanaowezaLeo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Hivyo vyote ni vyama vya kiislam.CUF,CCM,ACT wameweza kuenea Zanzibar
Zanzibar wapiga kura hawafiki hata laki 2, Bara ndiyo kuna watu wa kutosha, CHADEMA wapo sahihi snLeo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Wapiga kura wenyewe wapo wangapi?Zanzibar tatizo kubwa ni udini. Bila kuwa yakhe hutoboi mbona Zitto Kabwe amepokelewa huko? Udini.
Proginaly chadema iliundwa kwa ajili ya bara, hawakuwa na mpango and even leo hii hawana mpango wa ku establish ushawish visiwaniLeo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
SureHivyo vyote ni vyama vya kiislam.
Unawekeza nguvu kwa wapiga kura laki 2 unaacha milioni 30 utakuwa na akili?Proginaly chadema iliundwa kwa ajili ya bara, hawakuwa na mpango and even leo hii hawana mpango wa ku establish ushawish visiwani
Is why nguvu kubwa kwao iko bara kwa sasa
Now you see logic behindUnawekeza nguvu kwa wapiga kura laki 2 unaacha milioni 30 utakuwa na akili?
Wapiga kura 500,000 Wabunge 80.Zanzibar wapiga kura hawafiki hata laki 2, Bara ndiyo kuna watu wa kutosha, CHADEMA wapo sahihi sn
YapNow you see logic behind
Hata mikoa ya kusini (Pwani+Lindi & mtwara)Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Ukigawana na CCM unabakiwa na wangapi? wekeza kwenye mtaji wa kutoshaWapiga kura 500,000 Wabunge 80.
Wajenga hoja wa ccm... 24/7 ni CHADEMA😂Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Siyo kweli, Lisu alikamatwa akiwa wapi? nini kilitokea?Hata mikoa ya kusini (Pwani+Lindi & mtwara)
Chadema ni kama hawapo