Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?

Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
 
Zanzibar tatizo kubwa ni udini. Bila kuwa yakhe hutoboi mbona Zitto Kabwe amepokelewa huko? Udini.
CUF,CCM,ACT wameweza kuenea Zanzibar
 
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?

Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Tanganyika inatosha Zanzibar watafanya wengine wanaoweza
 
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?

Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Zanzibar wapiga kura hawafiki hata laki 2, Bara ndiyo kuna watu wa kutosha, CHADEMA wapo sahihi sn
 
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?

Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Proginaly chadema iliundwa kwa ajili ya bara, hawakuwa na mpango and even leo hii hawana mpango wa ku establish ushawish visiwani
Is why nguvu kubwa kwao iko bara kwa sasa
 
Unawekeza nguvu kwa wapiga kura laki 2 unaacha milioni 30 utakuwa na akili?
 
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?

Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Hata mikoa ya kusini (Pwani+Lindi & mtwara)
Chadema ni kama hawapo
 
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?

Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Wajenga hoja wa ccm... 24/7 ni CHADEMAšŸ˜‚
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…