Sababu za Harmonize kutoka WCB

Sababu za Harmonize kutoka WCB

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
SABABU ZA HARMONIZE KUTOKA WCB (Sababu ya ukweli yaani)

Ni baada ya kuchoshwa na maonevu ya blaza aliyechoka kuandika mashairi yake peke yake, na kulazimisha kuingia kwenye kila wimbo wake ambao ni 'hit'

Mnataka mifano, ntawapa uzi.

1. Kwangwaru: Mnakumbuka hii hit wazee wa kazi? Basi bana blaza alilazimisha featuring. Yeye hakuwa mlengwa wa hii kolabo wala nini, ile 'kiboss' akajifanya 'Oi Harmo, nakaa humo tunaua kaka'. Unaua nini wewe, tunga zako!

2. Kainama: Do you remember this jam? Burna was the only feature meant for it. Ila huyu blaza, kuona Burna yupo kati, weeeee jicho likamtoka kama Palamagamba. Cha kushangaza sasa akaharibu mambo, akaimba mashudu yake kama kawa.

Mifano ni mingi niwape. Mbona 'Dabiliyusibii' mnanuna? Mi nawapa tena.

3. Kokoro: Munakumbuka hiki kigongo cha Richard? eenh Mavoko. Yeye akaenda kuimba 'mara mavi kanyata mfupa umedata'. Akaharibu wimbo aliong'ang'ania kuwemo.
 
Anayemtaka mwenzake ni yupi we pumbavu!!! DIAMOND ndiye aliyempandisha jina kwahiyo ili harmonize azidi kuwa juu ilibidi awe katika kila colabo!! nani angemjua mmakonde kule nigeria!!!
Diamond uwezo umeshuka kolabo za hao Vijana zilikua Zinambeba
 
Mwimbo na Tanasha nao kakopi, anachanwa huko. Itabidi aache haraka kabla hajakutana na wakumpeleka mahakamani
 
Mi sihitaji sapot nia yangu ni kukufikishia habari za ukweli na uhakika We kazi yako ni kupinga
Ujisikii aibu asilimia kubwa ya wadau wanapinga mada zako nyingi sometimes unakosa hata mtu mmoja wa kuunga hoja yako.
 
Back
Top Bottom