Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
SABABU ZA HARMONIZE KUTOKA WCB (Sababu ya ukweli yaani)
Ni baada ya kuchoshwa na maonevu ya blaza aliyechoka kuandika mashairi yake peke yake, na kulazimisha kuingia kwenye kila wimbo wake ambao ni 'hit'
Mnataka mifano, ntawapa uzi.
1. Kwangwaru: Mnakumbuka hii hit wazee wa kazi? Basi bana blaza alilazimisha featuring. Yeye hakuwa mlengwa wa hii kolabo wala nini, ile 'kiboss' akajifanya 'Oi Harmo, nakaa humo tunaua kaka'. Unaua nini wewe, tunga zako!
2. Kainama: Do you remember this jam? Burna was the only feature meant for it. Ila huyu blaza, kuona Burna yupo kati, weeeee jicho likamtoka kama Palamagamba. Cha kushangaza sasa akaharibu mambo, akaimba mashudu yake kama kawa.
Mifano ni mingi niwape. Mbona 'Dabiliyusibii' mnanuna? Mi nawapa tena.
3. Kokoro: Munakumbuka hiki kigongo cha Richard? eenh Mavoko. Yeye akaenda kuimba 'mara mavi kanyata mfupa umedata'. Akaharibu wimbo aliong'ang'ania kuwemo.