Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

'i heard Muhammad say' ...says abdur rahmaan!!!!..and you conclude,you do not even know what the Qur'an is..do you!!?
 
Sidhani kama ni hivy ukweli ni kwamba walokole wakikemea mapepo yao yani majini yanaruka na hapo tafrani inaingia maanaYesu alikemea mapepo yatoke sasa walokole wakikemea waislam wanapata tabu sana kuna eneo jirani hapo kuliwekwa mkutano wa injili wenyewe walikuwa wanapiga dua msikitini wote chali ioikuwa tafrani si si mchezo ilibid waghairi kwanza mambo ya Yesu yaishe....
 
MTU kachoma zake ubani/udi anataka kuunguza ganja then kanakuja ka mtu Kwa Sauti ya kihaya " hivi nyinyi humu huwaga mnachomaga vinini?" They can't mind their own business
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
walokole ni kikundi cha watu wenye fastration vichwa vyao vina wenge sana nazani kusingekua na makanisa yao haya wangesumbua sana jamii atleast wamepata sehem ya kwenda kujifungia kupunguza stress zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hangaikeni na dini za watu WEUPE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila jaman watu lol
 
Walokole ni watu wa amani sana wanafiti popote ukikosana na mlokole basi wewe ni kafiri mdogo ake shetani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakwambia Muislam mwenzio ni ndugu yako inamaana asiye mwislam si ndugu yake?

Wakristo hawanaga hizo mambo za kupendeleana na kubagua wengine!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa mujibu wa imani yao,mtu asiyeamini katika mafundisho ya muhamad kwa maana ya Allah na mtume wake,huyo ni kafir.

sasa wewe waite waite jina lolote tofauti na waislam,utaona moto wake.
Ukifika maduka ya Farmers Centre, hakuna muajiriwa wa kikristu hata mmoja. Hebu jaribu takwimu za ajira huko Bahresa/Azam, utashangaa na roho yako. Tatizo hili limeanza kuzikumba timu za Simba na Yanga, hususan kwenye ngazi za uongozi. Kumpata mkristu ni kwa tochi. Kwa hiyo, huo ubaguzi upo si jambo la siri
 
Wakristo wanafanya kazi za maofisini,, hawachezi mpira wala kupiga mziki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…