LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇
Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi.
Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho.
Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza.
Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake ni kwamba, unatakiwa kula Mananasi kwa wingi wakati huu.
Nature inakuelekeza kwamba unatakiwa kula Mananasi kwa wingi sana kipindi hiki.
Ukila Mananasi kwa wingi kipindi hiki ndio utavuna faida za kiafya za Kula Mananasi to its fullest, kuliko kipindi chochote kile.
Hii ni kwa Sababu, anasema Ptolemy ( baba wa Astrology na Astronomy) kila kitu kinacho tokea duniani kipo influenced na movements of various bodies in the space . Mifano nyota, sayari, miezi nakadhalika.
Mifano wanawake kwenda mwezini ni jambo lipo influenced na uvutano kati ya mwezi na dunia.
Water movements in the ocean ni suala ambalo lipo influenced na uvutano kati ya mwezi na dunia.
kuzaliwa kwa watu duniani kunategemea kwa kiasi kikubwa sana na uvutano kati ya jua na mwezi.
Kama Mungu aki manipulate kidogo umbali baina ya mwezi na dunia,( mwezi ukasogezwa mbali kidogo kuliko umbali uliopo kati ya dunia na mwezi) basi wanawake hawatokuwa na uwezo wa kubeba mimba tena kwa sababu effect ya mabadiliko hayo ya umbali kati ya dunia na mwezi itaathiri mfumo mzima wa via vya uzazi vya wanawake ( mfano mzunguko wa hedhi)
Kuna watu huwa uwezo wao wa kufikiri unabadilika kulingana na phases za moon ( Lunatics)
Ptolemy anasema hata tabia za watu katika sehemu mbalimbali za duniani ni tofauti kwa sababu ya celestial bodies zinazo influence maeneo hayo.
Watu wa middle east, tabia zako zipo influenced na effect ya muingiliano baina ya atmosphere ya dunia na celestial bodies ( stars) ambazo zina correspond na middle East.
Waitaliano, Scandinavians, Chinese, Waafrika wa chini ya Jangwa la Sahara tabia zao pia zipo influenced na correspondence between celestial body movements na maeneo wanayo ishi.
Kwa kutumia maarifa ya Astronomy na Astrology, Ptolemy anasema unaweza kupredict personalities za watu katika eneo fulani hata kabla hujaenda katika eneo hilo. Hii huweza kusaidia wakati wa vita nakadhalika.
Incase kama hujaelewa, wacha nitumie analogy ( mfano) rahisi sana.
Ukienda sehemu yoyote ile hapa duniani ukakuta sehemu hiyo kuna ardhi nzuri yenye ratuba na mazao yaliyo stawi vizuri basi katika eneo hilo wanawake wenyeji wa eneo hilo watakuwa na uzazi sana, tofauti na sehemu yenye ukame.
Mfano : Nigeria, India, hapa Tz sehemu kama Mbeya, Morogoro,Ruvuma, kanda ya ziwa etc kuna watu wengi sana. Na wanawake wa huko wengi wana uzazi sana( They are so fertile) Yote ni Kwa sababu mfumo wa miili yao umekuwa influenced na celestial bodies ambazo zina correspond na eneo hilo.
Unaweza ku predict tabia za watu wanao ishi katika eneo hilo bila hata kuwajua. Tabia ya kwanza : They will always be generous.
Huwezi ku compare na sehemu zenye ukame, huko hakuna watu wengi sana na watu wa huko ni wachoyo kwa sababu hiyo ( Mfano Dodoma).
Kula Mananasi kwa wingi msimu huu wa mananasi upate kuvuna faida za kiafya za Mananasi.
Moja kati ya faida hizo ni pamoja na kutibu afya ya Moyo ( inasaidia sana believe me. Kama mtu mwenye shida kwenye moyo Mwambie ale Mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi. Ale yale yaliova vizuri. Utakuja kunishukuru sana baadae. Hata wagonjwa wa presha ya kupanda pia inawasaidia sana, as a matter of fact, kitaalamu tatizo la presha linahesabika kama moja kati ya matatizo kwenye moyo kwa sababu linaathiri moyo kwa kiasi kikubwa sana)
Pia kwa watu wenye shida ya Nguvu za kiume, Kula Mananasi wakati wa msimu wake inasaidia sana. Utakuja kunishukuru mno.
Yani ukitumia mananasi kwa wingi kwenye msimu wake unaweza kuwa na nguvu za kiume sawa sawa na mtu anaetumia UJI DUME( GOOGLE KUJUA UJI DUME NI NINI)
# KULA MANANASI MSIMU WA MANANASI UVUNE FAIDA AS KIAFYA AS KULA NANASI TO ITS FULLEST.