Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

Kwa hiyo tajiri akifanya mapenzi na maskini ndo anabeba kivuli cha maskini mwisho anafilisika

Lakini maskini habebi kivuli cha tajiri na yeye atajirike.au nimeelwa vibaya mleta mada
Unaakili sana wewe. Bongo hakuna tajiri wakike nikamege kisela aniachie upako .
 
Hamna walipoandika alikuwa pornstar hapo, yani fanatics wote mna matatizo, kuanzia walokole, wachawi na wengineo, kila kitu mnakiangalia kwa muono mnaoujua ninyi, mnakera sana

He was.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…