Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
First of all I declare my interest, I am a devoted Muslim.

Tyson aliingia katika pambano lake dhidi ya Evander Holyfield akiwa Ndio ametoka kusilimu and I think alisilimu wakati yupo jela.

Kusilimu Kwa Mike Tyson halikuwa tatizo as long as angefanya suala lake la kusilimu kuwa his personal business.

Tatizo lilikuwa ni pale alipo peleka suala la kusilimu kwake ndani ya Ulingo.

Kama utakuwa unakumbuka, wakati Tyson na msafara wake wanaingia ndani ya ulingo, yeye na msafara wake walikuwa waki-chant ' Takbeer!!! Allahu Akbar!!! Kama ishara ya kumtukuza Mungu wao katika pambano hilo.

Kwa lugha nyingine, Tyson alikuwa anajaribu kupeleka ujumbe kwamba Mungu wake ni mkubwa na atamsaidia kushinda pambano lake dhidi ya Evander Holyfield.

Hapo ndipo Tyson alifanya kosa kubwa Sana katika ulimwengu wa kiroho ambalo ninakushauri wewe unaesoma Uzi huu, usiwahi kujaribu kufanya kosa kama Hilo katika maisha yako yote.

Tyson alifanya kosa kama alilo lifanya Goliath kwenye battle field wakati ana jiandaa kumvaa kijana Daudi.

Kwa kitendo cha kumtaja Allah katika pambano kati yake dhidi ya Evander, kijana aliye muamini na kumtumikia Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo na Mungu wa Abraham, Mike Tyson was shifting the battle from Mike Tyson Vs Evander Holyfield to ' Allah (God of the Arabs) Vs the God of Israel.

And by doing so, Mike Tyson determined the outcome of the battle, because God of Israel is the God who cannot be defeated by anything.

Mike Tyson alirudia kosa la kiroho lililo kwisha kufanywa na Goliath maelfu ya miaka iliyopita.

Goliath kabla haja anza kupambana na kijana Daudi, alianza kwa kumlaani kijana Daudi kwa kutaja majina ya miungu wa kifilisti, huku Daudi akikabidhiwa pambano lake kwa Mungu wa Israel na mwisho wa siku wote mnajua kitu gani kilitokea.

By cursing David with his gods, Goliath was transfering the battle from Goliath Vs David to " god's of Goliath Vs the God of Israel"

And by doing so Goliath already determined the outcome of the battle.


Lesson to learn:

1. In any manner what so ever, thou shall never fight the God of Israel, for nothing can defeat him. God of Israel is very powerful. Hakuna chochote Chini ya ardhi hii ambacho kinaweza kuishinda nguvu ya Mungu wa Israel. Hakuna uganga wala Uchawi unaoweza kufanyika Juu ya nyumba ya Israel.

2. When fighting with a person who lives under the grace of the God of Israel, never to try to shift the battle into a spiritual one cause the battle will be between your god and God of Israel .

# Out of topic: Is it only me? Every time I preach about the mightness of the God of Israel, something special and favourable must happen in my life.

I know today I am going to be blessed by virtue of this thread.

 
I really understood you.
And this same God who takes care of me will supply all your needs from his glorious riches, which have been given to us in Christ Jesus.
 
Same thing ilitokea kwa Dentoy Vs Fury

Maneno aliyosem Dentoy, mwisho wa siku Fury akasema now its battle Btn My GOD and ur GOD, hahahha kilichotokea ni kile
 
Dini ni ulevi mbaya sana. Na ukikumbwa na kilevi hiki huku kichwani ni kilaza, ndio unalewa mpaka unapitiliza.
 
Same thing ilitokea kwa Dentoy Vs Fury

Maneno aliyosem Dentoy, mwisho wa siku Fury akasema now its battle Btn My GOD and ur GOD, hahahha kilichotokea ni kile
Dentoy alisemaje?
 
I really understood you.
And this same God who takes care of me will supply all your needs from his glorious riches, which have been given to us in Christ Jesus.
Ameeeeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…