Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

Hivi na Mohammed' Ally alikuwa anamtumikia Mungu gani alivyokuwa akiwachapa wapinzani wake?
Nauliza swali hivi Tyson bado ni Muslim na zile bangi anazokula?


Naungana mawewe hakuna Mungu kama Mungu ninaye Mtumikia,naye ni huyohuyo MUNGU wa Yakobo(Israel)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuambia waislam hawali jani ni nani? Angalia majina ya wauza ngada maarufu hapa nchini utagundua kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhammad Ali was a Muslim but he was not putting his God in his fight. So the fights were between him and his opponents and not between his God and the God of his opponents
 
Tyson kamkwepa Sana Holyfield na Lenox Kwa sababu promoters wake walikuwa wanajua Tyson hakuwa bondia mkali wa kihivyo. He was so overrated.

By the way if u give urself a name such a name must be put into test.

He called himself a Champion and that's why his name had to be challenged in the ring
 
Tafuta kipindi YouTube kinaitwa 'chasing Tyson'
After Tyson Vs Evander 2, Tyson became so confused. Mpaka leo nahisi Jamaa kama hayupo vizuri kisaikolojia. Kichapo alicho Kula hakikuwa cha Sayari hii
 
Ndugu yangu nachelea kusema kuwa unaweza ukawa hauko sahihi kwa hoja yako hii kutokana na ukweli kwamba, kwa uelewa wangu mimi, Allah Akhbar ni neno la kiarabu linalomaanisha Mungu Mkubwa. Kwa hiyo alichokuwa ana-chant Tyson na wafuasi wake, angeweza kuki-chant hata kwa kutumia maneno hayo ya Kiswahili, au angeweza pia kutumia kiingereza "God is Greatest". Hii lugha haina uhusiano na Uislam, kwa sababu tuseme kama Tyson angekuwa ni mwarabu halafu kwa dini akawa ni mkristo, bado angetumia maneno hayo kwa lugha ya kiarabu, yakiwa na maana ile ile ya Mungu ni mkubwa. Naomba nitoe tahadhari kwa baadhi yetu wakristo huwa tuna ufahamu mdogo ambao wakati mwingine huwa unatupelekea kuhusisha baadhi ya maneno ya kiarabu na Uislamu. Neno kwa mfano Salaam Aleikhum, si salamu ya waislamu, ni salamu ya kila mtu inayomaanisha Amani iwe nawe.

Still, mimi napendelea zaidi kushauri kuwa kama wewe ni muislamu, u-concentrate zaidi na mambo ya Kiislamu, na kama wewe ni Mkrsito vivyo hivyo. Hata hivyo tushirikishane zaidi mambo mema yaliyopo kwenye dini zetu hizi mbili, badala ya kuangalia tofauti zetu zaidi. Kwenye mgogoro wa uchinjaji nyama kwa mfano, aliwahi kuibuka Mzee wa Upako kwenye media akakemea sana hali hii, na kikubwa zaidi alichosema ni kwamba DINI HIZI MBILI DUNIANI, UISLAMU NA UKRISTO ZINASHAHIBIANA KWA KARIBU SANA KWENYE MAUDHUI YAKE NDANI YA MAANDIKO MATAKATIFU YA KILA MOJAWAPO YA DINI HIZI.
Zaidi kwa upande wangu mimi huwa ninaona UISLAMU ni Dini ambayo, inazidi ku-cement zaidi juu ya uwepo wa Yesu, kwa sababu Qurani pia inakiri uwepo wake. Tungekuwa peke yetu wakristo tu na pakawa hapana dini nyingine yenye kutambua uwepo wa Yesu, possibly wangekuwa wanajitokeza watu na kuhoji kuwa pengine Yesu hakuwepo na ingekuwa ni ngumu kidogo, kuliko ilivyo sasa, kuwapa majibu ya kuwaridhisha juu ya uwepo wake. Lakini kwa sasa hivi mtu akibisha kuhusu uwepo wa Yesu, unachotakiwa kufanya ni kumtuma tu aende msikitini akawaulize waumini wa Kiislamu au Mashehe halafu watampatia majibu. Unaona sasa Uislamu ulivyo msaada kwa Ukristo? Tena msaada mkubwa mno kwa sababu kitu kikubwa kabisa ambacho mwanadamu anatakiwa akifahamu ili aweze kuwa Mkristo, ni uwepo wa Kristo, yaani Yesu!
 

Ur simply still a learner.

And let me tell you this, I am a Muslim and will tell it to you ten million times times that Allah the God of Arabs and Muslims is not Yahweh/YHVH the God of ISACK,Jacob and Abraham, the God of Israel.

Stop exposing ur ignorance cause u got a very little and limited understanding about the concept of deities.
 
I'm sorry to let you know the fact that The living God I worship is not among the deities because He is the ONLY God. Thanks for your advice anyway!
 
Teh teh teh Tyson was 30 yrs old and Evander was 34 yes old. Nani anafaaa kuwa amechana at that age ?
Hivi unajua lilikuwa pambano la ngapi baada ya kutoka jela? Na hayo aliyoshinda alitumia Mungu yupi?
 
Nadhani ungeongezea pia,hata Malcom X alifanya kosa kubwa la kiroho ndio maana akachezea mvua za risasi.
 
Uko sahihi mkuu,ila kwenye lugha ya kiarabu na uislam huwezi tenganisha mkuu.

Muislamu yeyote ili uive ni lazima ujue kiarabu,huwezi kuwa muislam na hujui kiarabu hata kidogo,

Uislamu na kiarabu ni havitengani,quran imeandikwa kiarabu ,hivyo hata ibada lazima kiarabu kipigwe kidogo na ufafanuzi ndio kiswahili,maandiko mengi ya kislam lazima kiarabu kiwepo

Nilikuta mzee namtumbo ndan ndan huko anapiga kiarabu balaa kisa dini,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkanyaga mafuta anapotafuta wafuasi. Vp Mohammed Ali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…