Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

Aboreshe maisha ya mtanzania kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi, aajiri, awezeshe wakulima kupata mikopo yenye masharti nafuu, wafugaji watengewe maeneo ya malisho, aimarishe ulinzi na usalama wa wananchi, ajenge usawa wa kisiasa. Mengine mbwembwe tu!
 
Ngoja tuone hata kwa mjomba nilikua na matumaini makubwa sana nikasema kama alivyosema anaenda kufunga mirija ya mafisad nikajua basi hayo mahela yatakuja mtaani lakn nilicho kishuhudia tawahadithia wajuu zangu
 
hupendi kufikiria.

Angekuwa vipi Rais kama Mungu asinge mchukua Magu? Hapo ndio kwenye content.
 
Acha upuuzi we kumuona Samia Suluhu kwenye karatasi ya kupigia kura
 
Kwio
 
Nikubaliane na wewe mleta mada ya kwamba Kuna kilicho juu ya kila kitu ambacho huamua yote.
Na haya yalio tutokea sio kwa nasibu.
Hivyo Basi aina hii ya uongozi ilioingia leo haita tuacha Kama ilivyotukuta.

Mungu amjalie pumziko la milele ndugu magufuli.

Mama Samia japo sio imani yako lakini naamini Mama Maria mama wa Kristo aliewekwa kua mwombezi wa taifa hili na Alie mwombezi wetu sore atakuombea kwake Bwana wetu Kristo nawe hautatindikiwa na kitu katika utawala wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…