Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

Acha kudanganya watu...Samia amefikia hapo kutokana na system ya wizi wa kura iliyofanywa na serikali hii dhalimu ya CCM ikiongozwa na magufuli...
 
Mambo ya Mungu mpe Mungu mambo ya Kaisari mpe Kaisari, Siasa na Mungu wapi na wapi?
 
Mp
Acha unafiki, Afrika nzima inamlilia Magufuli saivi. Mwaache yetu amalizie kazi ya Musa. Mimi naamini Magufuli ni Musa, mama Samia ndio Yoshua.
Mpaka kuzoea itakuchukua muda mrefu lakini ukweli ndio huo, musa alimkosea Mungu ndio maana hakuikanyaga nchi ya ahadi. Tufikishe mama tupo pamoja.
 
wengi hawatakuelewa,,,,as Tanzanians....tunapenda ubishi ubishi ili kahawa inyweke tuende makwetu.......jana kulikuwa na party hatari mahali......bedui kaondoka na hatorudi tena......Najua wako vikaoni na wakina Maalim, Kijazi tena wanamshangaa...why mapema hivyoooooo....ila tuchape kazi.....
 
Huyo Mama makandokando yake tunayo msitake tuanze mashambulizi wakati wa msiba.
 
Upande wa kodi ajaribu ku rationalize iwe kama zanzibar🚶🚶
 
Mama Samia Hajachaguliwa na Mungu ni Takwa la Katiba...isome katiba inasemaje kuhusu Rais aliye madarakani akifa nani anashika uongozi wa nchi na kwa namna gani....
 
S

Si kweli.
Amepigiwa Kura, nae Kampeni akapiga mara zote mbili 2015 na juzi 2020.
Au yu-mwingine si yule wa kwenye Karatasi ya Kura?
Mkuu,

Hata kupendekezwa kuwa mgombea kuna mlolongo mrefu kapitia, tunaheshimu msiba tu kukataa kuanza kujadili makandokando hapa.

We are giving her a chance to see if she can reform.
 
Mama Samia Ataharibiwa na Washauri wake amini usiamini hii ni Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…