Sababu za kiroho kwanini uvae msalaba ?

Sababu za kiroho kwanini uvae msalaba ?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .

Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .

Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu

Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.

Ntarudi kuendelea ....
 
Yesu mwenyewe na wanafunzi wake hawakuvaa msalaba!Sijui limeandikwa wapi tuvae misalaba!
 
Enzi hizo nikiwa Kijana wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga ltd ulikuwa huniambii kitu kuhusu Rozari, ilifika hatua hata nikiisahau mahali Rozari yangu lazima niifuate, wakati wa kulala lazima nisali Rozari kwenye Novena ama nisikilize radio maria ndio nilale, ila siku moja nikajiita mkutano na kujiuliza hivi kwaa akili za kawaida tu ni kwanini nakuwa kama mganga yani Rozari imekuwa kama ni kitu nachokiabudu!!!??

Nikaanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu dini ya ukristo pamoja na Imani ya Kanisa katoliki, nikkanza kuutafuta ukweli kwa kufuatilia mienendo ya mapadri na viongozi wengine wa dini, nikaanza kuipa nafasi Common Sense ifanye kazi kichwani, ndani kama ya mwaka hivi nilipata kuzaliwa upya ki fikra na kufikia hitimisho kuwa dini ni utapeli tu.
Nikaachana na hayo mambo ya Rozari na mambo ya dini kabisa, nikarudi kuishi kwenye misingi ya kawaida ya binaadamu aliye staarabika.

Ni zaidi ya miaka 15 sasa imepita ila sijutii maamuzi yangu.

NB: maneno yangu sio sheria
 
Utarudi kwa namna nyingine siku ukipata changamoto kubwa ya kimaisha
 
How do u survive bila kuamini kwenye dini? Unaamini kwenye nini au ni full pagani sahivi unatafuta tu pesaa?
 
Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .

Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .

Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu

Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.

Ntarudi kuendelea ....
Inafikirisha sana
 
Yesu mwenyewe na wanafunzi wake hawakuvaa msalaba!Sijui limeandikwa wapi tuvae misalaba!
Wangevaaje msalaba wakati ulikuwa haupo? Msalaba unaovaliwa ni wa Yesu na umepatikana wakati wa mateso yake na kifo chake. Hivyo kuvaa msalaba ni kukumbuka, kushiriki, kuenzi na kutumia kama kinga ya pepo wachafu!
 
How do u survive bila kuamini kwenye dini? Unaamini kwenye nini au ni full pagani sahivi unatafuta tu pesaa?
Duuh kwenye hii dunia ku survive kunahitaji dini?!! Hili limeanza lini?!!
Hauhitaji dini kufahamu ya kuwa kusema uongo sio jambo jema, kuchukua mali ya mtu bila idhini yake sio jambo jema n.k ukiwa na common sense tu unaweza kuyatambua hayo unless kama utashi wako una hitilafu
 
Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .

Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .

Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu

Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.

Ntarudi kuendelea ....
Hizi siri unaziweka hadharani kirahisi hivyo?!
 
Back
Top Bottom