Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Msalaba ni Ishara ya Ushindi kwa WAKRISTO WOTESitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .
Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .
Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu
Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.
Ntarudi kuendelea ....
Ushindi wetu wakristo ulipatikana MSALABANI
Wasababto kwakuwa hawauamini Msalaba basi sio Wafuasi wa KRISTO