Yesu mwenyewe na wanafunzi wake hawakuvaa msalaba!Sijui limeandikwa wapi tuvae misalaba!Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .
Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .
Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu
Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.
Ntarudi kuendelea ....
Kuvaa fuvu la kichwa je kuna maana GANI?Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .
Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .
Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu
Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.
Ntarudi kuendelea ....
Utarudi kwa namna nyingine siku ukipata changamoto kubwa ya kimaishaEnzi hizo nikiwa Kijana wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga ltd ulikuwa huniambii kitu kuhusu Rozari, ilifika hatua hata nikiisahau mahali Rozari yangu lazima niifuate, wakati wa kulala lazima nisali Rozari kwenye Novena ama nisikilize radio maria ndio nilale, ila siku moja nikajiita mkutano na kujiuliza hivi kwaa akili za kawaida tu ni kwanini nakuwa kama mganga yani Rozari imekuwa kama ni kitu nachokiabudu!!!??
Nikaanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu dini ya ukristo pamoja na Imani ya Kanisa katoliki, nikkanza kuutafuta ukweli kwa kufuatilia mienendo ya mapadri na viongozi wengine wa dini, nikaanza kuipa nafasi Common Sense ifanye kazi kichwani, ndani kama ya mwaka hivi nilipata kuzaliwa upya ki fikra na kufikia hitimisho kuwa dini ni utapeli tu.
Nikaachana na hayo mambo ya Rozari na mambo ya dini kabisa, nikarudi kuishi kwenye misingi ya kawaida ya binaadamu aliye staarabika.
Ni zaidi ya miaka 15 sasa imepita ila sijutii maamuzi yangu.
NB: maneno yangu sio sheria
I wish ungejua changamoto nilizopitia kwenye maishaUtarudi kwa namna nyingine siku ukipata changamoto kubwa ya kimaisha
How do u survive bila kuamini kwenye dini? Unaamini kwenye nini au ni full pagani sahivi unatafuta tu pesaa?Enzi hizo nikiwa Kijana wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga ltd ulikuwa huniambii kitu kuhusu Rozari, ilifika hatua hata nikiisahau mahali Rozari yangu lazima niifuate, wakati wa kulala lazima nisali Rozari kwenye Novena ama nisikilize radio maria ndio nilale, ila siku moja nikajiita mkutano na kujiuliza hivi kwaa akili za kawaida tu ni kwanini nakuwa kama mganga yani Rozari imekuwa kama ni kitu nachokiabudu!!!??
Nikaanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu dini ya ukristo pamoja na Imani ya Kanisa katoliki, nikkanza kuutafuta ukweli kwa kufuatilia mienendo ya mapadri na viongozi wengine wa dini, nikaanza kuipa nafasi Common Sense ifanye kazi kichwani, ndani kama ya mwaka hivi nilipata kuzaliwa upya ki fikra na kufikia hitimisho kuwa dini ni utapeli tu.
Nikaachana na hayo mambo ya Rozari na mambo ya dini kabisa, nikarudi kuishi kwenye misingi ya kawaida ya binaadamu aliye staarabika.
Ni zaidi ya miaka 15 sasa imepita ila sijutii maamuzi yangu.
NB: maneno yangu sio sheria
Inafikirisha sanaSitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .
Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .
Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu
Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma.
Ntarudi kuendelea ....
Bado sana...zikifika utarudi kwa aina yake. Hata kama si wewe utakaerudi basi mzazi,mke au yeyote wa karibuI wish ungejua changamoto nilizopitia kwenye maisha
Wangevaaje msalaba wakati ulikuwa haupo? Msalaba unaovaliwa ni wa Yesu na umepatikana wakati wa mateso yake na kifo chake. Hivyo kuvaa msalaba ni kukumbuka, kushiriki, kuenzi na kutumia kama kinga ya pepo wachafu!Yesu mwenyewe na wanafunzi wake hawakuvaa msalaba!Sijui limeandikwa wapi tuvae misalaba!
Duuh kwenye hii dunia ku survive kunahitaji dini?!! Hili limeanza lini?!!How do u survive bila kuamini kwenye dini? Unaamini kwenye nini au ni full pagani sahivi unatafuta tu pesaa?
Sawa mtabiri, hizi ndio hofu mnazojazwa huko kwenye dini, poleniBado sana...zikifika utarudi kwa aina yake. Hata kama si wewe utakaerudi basi mzazi,mke au yeyote wa karibu
Imani ni nguvu ya ajabu sana, uwe na imani nzuri utafurahi.Yesu mwenyewe na wanafunzi wake hawakuvaa msalaba!Sijui limeandikwa wapi tuvae misalaba!
Hizi siri unaziweka hadharani kirahisi hivyo?!Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .