Sababu za kiroho kwanini uvae msalaba ?

Msalaba ni Ishara ya Ushindi kwa WAKRISTO WOTE

Ushindi wetu wakristo ulipatikana MSALABANI

Wasababto kwakuwa hawauamini Msalaba basi sio Wafuasi wa KRISTO
 
Yesu mwenyewe na wanafunzi wake hawakuvaa msalaba!Sijui limeandikwa wapi tuvae misalaba!
Biblia yenyewe inasema kama vyote alivyofanya Yesu vingeandikwa hakuna kitabu kingebeba
 

Yesu hakufa kwenye msalaba kama watu wanadanganywa alikufa kwenye juu ya nguzo.

Kuna tofauti kati ya cross na stake
 
Usichanganye, hapa tunazungumza mambo au matukio yako wewe na siyo ya mtu mwingine. Huyo anayekuambia yuko kwenye bodaboda ni yeye ndiye anaona hivyo. Kama ni muumini wa dini au madhehebu yoyote yale maandiko yanathibitisha kuwa nguvu za giza (uchawi, ushirikina, uwanga, n.k.) zipo, je wewe unaishi vipi ili kuzishinda? Kwa maana zipo kazini kila wakati na kwa kibali cha Mungu kwa Ibilisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…