Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwa one storey inawezekana kabisa bila kuweka maweNaomba kuuliza, hivi kuna nyumba zingine za ghorofa moja huwa wanajenga msingi bila kupanga mawe? Maana kuna ndugu yangu alikua anaongelea alivyojengewa kwa unafuu akasema wao wamejaza kifusi tu hawajaweka mawe na wamseshapiga zege hiyo Inakuwaje
Anhaa okay basi nikajua wamempigaKwa one storey inawezekana kabisa bila kuweka mawe
Faida kubwa ya kupanga mawe ni...Naomba kuuliza, hivi kuna nyumba zingine za ghorofa moja huwa wanajenga msingi bila kupanga mawe? Maana kuna ndugu yangu alikua anaongelea alivyojengewa kwa unafuu akasema wao wamejaza kifusi tu hawajaweka mawe na wamseshapiga zege hiyo Inakuwaje
1.Msingi umezama ardhini kwa mita ngapi...Hayq magorofq ya kawe.mungu peke yake ndo anaweza kuyaangusha.si kwa zege lile.mwanzo mwisho
Kwa pale 💯 kaka.1.Msingi umezama ardhini kwa mita ngapi...
2.Connection za nondo zikoje....
3.Uzito wa jengo utakuwa himilivu kwa msingi,kimahesabu...
4.Idadi na size ya nondo zilizowekwa ni sawa...
Taratibu Engineer kumbe inawezekana ehhh? Utanifaa sana weweKwa one storey inawezekana kabisa bila kuweka mawe
Bongo vitu vingi vipo very complicated sababu ya mafundi na baadhi ya wataalamu kukariri.Taratibu Engineer kumbe inawezekana ehhh? Utanifaa sana wewe
Sure Engineer kuna hii aina ya slabs (check picha hapo chini) je kiataalam hii imekaaje na je ni wakati gani aina hii ya slabu inaweza tumika?Bongo vitu vingi vipo very complicated sababu ya mafundi na baadhi ya wataalamu kukariri.
Kuna mtu humu aliwahi kuuliza kwa engineers waliopo humu, aliuliza kwa nn maghorofa ya wenzetu sijaona yakiwa na lintel(mnaitaga linta) au pia yakiwa na ring beam. Majibu ya siku ile yalinisikitisha. Huyu mtu hakupata jibu linaloeleweka
Hii ni hollowcore slabs, ni nzuri na inapunguza gharama za kuweka onsite slabSure Engineer kuna hii aina ya slabs (check picha hapo chini) je kiataalam hii imekaaje na je ni wakati gani aina hii ya slabu inaweza tumika?
View attachment 3084158View attachment 3084159View attachment 3084160View attachment 3084161View attachment 3084158View attachment 3084159