Sababu za kuanguka kwa majengo

Sababu za kuanguka kwa majengo

Naomba kuuliza, hivi kuna nyumba zingine za ghorofa moja huwa wanajenga msingi bila kupanga mawe? Maana kuna ndugu yangu alikua anaongelea alivyojengewa kwa unafuu akasema wao wamejaza kifusi tu hawajaweka mawe na wamseshapiga zege hiyo Inakuwaje
Kwa one storey inawezekana kabisa bila kuweka mawe
 
Naomba kuuliza, hivi kuna nyumba zingine za ghorofa moja huwa wanajenga msingi bila kupanga mawe? Maana kuna ndugu yangu alikua anaongelea alivyojengewa kwa unafuu akasema wao wamejaza kifusi tu hawajaweka mawe na wamseshapiga zege hiyo Inakuwaje
Faida kubwa ya kupanga mawe ni...
1. Kupunguza uwezekano wa maji kupanda na kufikia zege la sakafu na kulizoofisha...

2.Hubeba na huimili uzito wa sakafu bila kutitia,,,mawe hata yakiloa hayatitii na kusababisha nyufa kwenye sakafu.
 
Hayq magorofq ya kawe.mungu peke yake ndo anaweza kuyaangusha.si kwa zege lile.mwanzo mwisho
1.Msingi umezama ardhini kwa mita ngapi...
2.Connection za nondo zikoje....
3.Uzito wa jengo utakuwa himilivu kwa msingi,kimahesabu...
4.Idadi na size ya nondo zilizowekwa ni sawa...
 
Aisee
Dar watu hawana kazi, angalia nyomi hili halafu utakuta walikaa hapo mpaka giza linaiingia
Wanaziba njia kuzuia waokoaji halafu hata hawaelewi, ili mradi tukio limetokea wamepata sehemu ya kupigia soga

1725135710450.png
 
Taratibu Engineer kumbe inawezekana ehhh? Utanifaa sana wewe
Bongo vitu vingi vipo very complicated sababu ya mafundi na baadhi ya wataalamu kukariri.

Kuna mtu humu aliwahi kuuliza kwa engineers waliopo humu, aliuliza kwa nn maghorofa ya wenzetu sijaona yakiwa na lintel(mnaitaga linta) au pia yakiwa na ring beam. Majibu ya siku ile yalinisikitisha. Huyu mtu hakupata jibu linaloeleweka
 
Sure Engineer kuna hii aina ya slabs (check picha hapo chini) je kiataalam hii imekaaje na je ni wakati gani aina hii ya slabu inaweza tumika?
Screenshot (1774).png
IMG-20211125-WA0002-e1644410347741.jpg
e6922b9b-da62-40ca-8d53-ba8d15042070.jpeg
4ff8008d-f88d-4e32-bea7-4ea54c0c93d0.jpeg
Screenshot (1774).png
IMG-20211125-WA0002-e1644410347741.jpg
 
Back
Top Bottom