Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

Mwamgunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
247
Reaction score
48
Habari za jioni wanajamii forum! Kutokana na habari zilizo chini ya kapeti ni kuwa ajira mpya za waalimu zimechelewa kutokana na matokeo mitihani ya kidato cha pili na kidato cha nne. Habari hizo zinaeleza kuwa matokeo ya kidato cha pili yaliyotangazwa mapema mwezi huu na yale ya kidato cha nne yatakayotangazw mda wowote yamepelekea kuvurug mpango maalumu wa kupeleka waalimu ktk mikoa 8 iliyokuwa imelengwa hivyo kupelekea kupangwa upya kwa majina ya waalimu kwa kuzingatia mikoa na wilaya ambazo zilifanya vibaya zaidi. Ni hayo tu waalimu wenzangu, ila tusikate tamaa tuendelee kusubiri.
 
Wasipo boresha maslahi ya walimu hasa mishahara mizuri na marupurupu ni kazi bure,matokeo mabaya yatakuwa kila mwaka.Walimu wamechoka.
 
Wamekutuma wewe uwasemee kwani wao hawawezi kutoa taarifa kwanini wamechelewa.
 
Wamekutuma wewe uwasemee kwani wao hawawezi kutoa taarifa kwanini wamechelewa.

We nae ndo umejiunga kwenye hii forum nini? Kwani mtu kupost anachokijua ni dhambi? Tumshukuru kwa kutueleza ukweli wa kinachoendelea wizarani kuliko kum-undermine. Kama unakuwa huna la kucomment better ukakaa kimya. Jipange!
 
Jipange wewe unasubiri kupelekwa kijijini wenzako tulishajiajiri.
 
Jipange wewe unasubiri kupelekwa kijijini wenzako tulishajiajiri.

Ukibishana na tahira wote mnaonekana matahira, so sina muda we endelea na utahira wako, may be utakusaidia ktk maisha yako. Nyambafu!
 
Hv kusahsha mitihan na kutoa post kp kigumu? Hawana sa7bu ya mcng. Labda waseme wanaogopa kupanga mapema walimu kisa pesa. Coz wangepangwa mwez wa kumi na moja mishahara walimu wangekua wamekula mishahara ya miez miwil so hzo hela watazichakachuaje? Lazma wapndshepndshe ili wapate ulaj.
 
Necta walishamaliza kazi yao ya kusahihisha na kutoa matokeo,hivyo hawahusiki wameshakabidhisha wizara ya elimu,jipange sio unatoa hoja isiyo na IQ.

necta wanasahsha na kupanga matokeo. Moe wanahucka kutangaza 2. So kutangaza 2 matokeo ndo wacheleweshe? Btw zaman ajira za walimu zilikua zinatoka mapema kabla ya matokeo ya 4m 2 na 4. So walikua hawaogop kuchelewesha? Huna jpy nenda kaigze huko!
 
Mi nadhani kuna haja ya kusubiri tu post hizo ila tujiandae kuwa wajasilia mali wa uhakik kupitia ardhi na kilimo huko wanakotakakutupeleka la sivyo tukishindwa kuitumia fursa hiyo vizuri ndoto zetu za kuondokana na umasikini na maisha ya vijijini pamoja na kupata fursa ya kujipatia kipato cha ziada kitakachotusaidia kuendelea kusoma zaidi kwa kuchukua degree ya pili, tatu zitakwama na kufifia kabisa, nawashauri wenzangu kuwa popote tutakapopangiwa twende tukayatumie vizuri mazingira hayo kuwekeza kaika vitega uchumi kwa kutumia elimu zetu ktk kubuni miradi itakayoendana na vipato vyetu na mazingira husika lakini bila kuathiri ratiba na majukumu yetu ya kazi. Mimi naamini miji yote imekuwa na mingine kufikia kuwa majiji makubwa ulimwenguni kote huku ikitokea kuwa ktk hali ya kuwa vijiji kutokana na miyo ya watu wa eneo hilo kufanya kazi kwa bidii na kuwa mtazamo chanya wa maendeleo ktk kuwekeza na kukuza uchumi wao hivyo nawaomba tutangulize uzakendo wa dhati ktk mioyo yetu kwa kulitumikia nchi yetu kwanza
 
Bwana awe nanyi katika kipindi
hiki kigumu machopitia! Kuna
usemi nasema Kosa Hela Ujue
Kipaji Chako Na Pata Hela
Ushangae Tamaa Yako! Sasa
katika kipindi hiki msichokuwa na kazi ndo mda wa kujua vipaji
vyenu! Ngoja niwape miongozo
kadhaa jinsi ya kupata kazi
mujini hapa! 1.Recruitment Agencys- Mambo
za kuhangaika na ma CV
imepitwa na wakati, Mambo yote
ni kupeleka CV zenu kwa hawa
agents then wanakuinterview na
kuwalink na Clients wao wa ukweee! ,Mfano RADAR
RECRUITMENT ni agent wa siku
nyingi wa GAPCO na PUMA OIL!
Sasa usitegemee utapata kaz
kubwa kwenye makampuni
makubwa bila hawa magent kupata chao! (Kampuni ndio
inalipa sio wewe) Mimi RADAR
walinipeleka kwa clients 2
tukashindwana maslahi coz mimi
ni mvivu plus nataka pesa nyingi!
Kuna Enrich Africa pia alinipeleka kwa clients 3, wa maana basi tu
mtu ukiwa hujielewi ndo hivo
tena! Kuna EUROLINK
(wanyonyaji sanaaa) Kuna PES
(Wazushi) Shughulika Recruitmen
(Wababaishaji) na wengineo! Jaribuni bahati zenu wadogo
zangu! Kuna mtu alipelekwa
GAPCO na RADAR kwa starting
ya 1.8m enzi hizo ni lawyer huyo
dada.(Let this serve as an
inspiration) 2.Scholarship-Kama GPA zinasoma
poa kuanzia 4 huko kuna
mascholarship ya kumwagaaa
kuanzia Ubalozi wa USA,
JAPAN,CHINA, UK,TURKEY,
RUSSIA na zinginezo! Sasa ushaona hapa na GPA unayo wahi
ubalozi saa 12 sema naulizia
Scholarship nimeambiwa zipo
utaambiwa urudi mwezi wa
ngapi! Na urudi! Sema siwafichi
Mitihani ni Deadly kinomaaa! Mi wa USA ulinitoa knock out lasivo
box zilinihusu sanaaa! Hizi
scholarship za maana atii sio za
wasiwasi kila kitu paid! Sema ndo
ujikamue ufaulu huo mtihani
wao! Baloz zote nilizotaja ndo miezi ya kufuatilia hii, wa 8 ni
kukwea pipa! Sasa kaeni mkingaa
sharubu mujini hapa muione
habari yenu! Na mkienda mbane
huko huko mpate uraia sio
kujifanya vimbelembele front kurudi huku wakati mnaoa hali si
shwari! 3.Mjiunge na Vyama vya Siasa!
Mimi ni CCM damu, na asikwambie
mtu kupata kazi mashirika ya
uma Chama kinahusika sanaaa!
Mnaweza hata kujiunga na chama
cha hao wavaa magwanda ila mtapata network na exposure
kuliko kushinda mnaangalia
Woman of Steel na degree zenu!
CCM is a Plus coz ukiweza kumake
a difference na kujulikana
ushatoka! Kuna watu walijiunga na chama vyuoni now ni
wabunge hawaangaiki na
kudondosha CV 4.Pelekeni CV hizi new banks
zinaajiri japo mboga ndogoo,
ndogo kweli kweli! FMBE, EQUITY,
FNB, NIC BANK, BOA, KCB,FINCA,
AKIBA, BANK M, UBA etc Peleka
zote hizo hutokosa hata moja ila ndo mjue kazi tembo mshahara
sisimizi! Na shurba ya bank isikie
tu kwa wenzio! Highest hapo ni
UBA anatoa starting gross ya
900,000 hadi 2011 saivi siwezi jua
sanaaa! Si haba kuliko kukaa home! 5.Hakuna kazi nzuri ni wewe
mwenyewe tu unavochakarika
kuzispot mishe mishe za ukweee!
Hata kama mishe zinapigwa
wewe hujastukia hupati kitu
kabisaaa! Muwe wajanja wa kucheza na Over Time, kusaka
marupu rupu na kukwapua
inapobidi! Asikwambie mtu hela
ya mishe tamuuu! Ila mkumbuke
za mwizi arobaini! Mkishikwa mie
simoo! Mazingira ya kazi! Nikiwa graduate wa 2010
nishaajiriwa zaidi ya 4 times
sehemu tofauti tofauti! Kazi hizi
za kuajiriwa hazitofautiani ni yale
yale tu! Kampuni jina kubwa
maslah hakunaa! Kila ukihama ni yale yale tu! So kama umeajiriwa
usijione huna bahati ndo hali
halisi, piga mzigo hapo! Watu
wanadanganya mishahara yao!
Ukweli kila mtu anaujua moyoni!
Mtu yuko Auditing Firm jina kubwaa na CPA yake, hiyo Take
home sasa Majanga Majanga!
Akisafiri analipiwa Full Board
baba zimaaa! Ila its better than
nothing! La msingi wadogo zangu
mjipange mjiajiri, mfungue
maconsultacy hata kuleta mizigo
china poa tuu ndo mtatoka ila
huku white collar bado sanaaa!
Sikia tu mwenzio yuko CRDB jina kubwaa uliza Take home!
Majanga plus plus! Tunashia Kuwa
Kopa kopa UNTD tu! Mkopo juu ya
mkopo! Ila kuna watu na bahati zao
wamewin bwana kwenye NGOs
huko, Research, Projects na
waliokaa kwenye Mirija aka
vitengo madhubuti! You never
know na nyie mnaweza kuwa kati ya hao wachache wenye
bahati! Zidisheni maombi!
Otherwise niwatakie Saga Lami
njema!
 
Back
Top Bottom