Unasema hapa wizarani, it means wewe uko hapo wizarani...Kama ni hivyo ndiyo ninyi maadui wa serikali ya awamu ya tano na ambao mko ndani ya serikali..ndio ninyi mnaotoa Siri za serikali au hata kupotosha taarifa na issue mbalimbali za serikali...ndio ninyi mnaotoa taarifa za uongo kwa mabeberu...uko ndani ya serikali lakini hujui kuwa uwanja huo umelipiwa au utalipiwa pale bill itakapowasilishwa CCM...hovyo kabisa...umeapa kuitumikia serikali na kutunza siri lakini wewe unawashwawashwa na kiherehere na kutoa Siri...mtakuwa flushed out ..Sasa nakuambia uwanja huo haukutolewa bure kwa CCM...na hili la kwako Dr. Abbas yumo humu atalifuatilia mwenyewe kwamba anao watumishi chini yake wanaotoa taarifa kwa akina Robert.Amsterdam na vibaraka wake hapa TZ...hovyo kabisa...