Sababu za kufungwa Taifa stars 0 burundi 1

Acha kumwaga povu hapa! Magufuli ndiye mwenye uamuzi wa mwisho wapi afanye kampeni zake. Pili hakuna fedha yo yote iliyolipwa na CCM hapa wizarani.
Unasema hapa wizarani, it means wewe uko hapo wizarani...Kama ni hivyo ndiyo ninyi maadui wa serikali ya awamu ya tano na ambao mko ndani ya serikali..ndio ninyi mnaotoa Siri za serikali au hata kupotosha taarifa na issue mbalimbali za serikali...ndio ninyi mnaotoa taarifa za uongo kwa mabeberu...uko ndani ya serikali lakini hujui kuwa uwanja huo umelipiwa au utalipiwa pale bill itakapowasilishwa CCM...hovyo kabisa...umeapa kuitumikia serikali na kutunza siri lakini wewe unawashwawashwa na kiherehere na kutoa Siri...mtakuwa flushed out ..Sasa nakuambia uwanja huo haukutolewa bure kwa CCM...na hili la kwako Dr. Abbas yumo humu atalifuatilia mwenyewe kwamba anao watumishi chini yake wanaotoa taarifa kwa akina Robert.Amsterdam na vibaraka wake hapa TZ...hovyo kabisa...
 
Hovyo! Naona umetapika na kuhara! Jiwe limempata fisadi gizani sasa anagugumia kwa maumivu.
 
Hovyo! Naona umetapika na kuhara! Jiwe limempata fisadi gizani sasa anagugumia kwa maumivu.
Kumbe najadiliana na mtu asiye wa kawaida...unatamka kinyesi...lugha hii hutamkwa na watu wa aina Fulani ndani ya jamii yetu...fisadi.?!?!?! Ni Nani fisadi Kati ya Mimi na wewe unayemchukia JPM?!?!
 
Kumbe najadiliana na mtu asiye wa kawaida...unatamka kinyesi...lugha hii hutamkwa na watu wa aina Fulani ndani ya jamii yetu...fisadi.?!?!?! Ni Nani fisadi Kati ya Mimi na wewe unayemchukia JPM?!?!
Fisadi ni wewe na Jiwe kwa kutumia fedha za umma kujenga uwanja wa ndege nyumbani kwake.
 
Timu ilicheza vizuri kiasi hadi dkk ya 70 hivi ikaanza kupoteana. Mkude alikuwa na kiwango bora lakini ameharibu sana kwa kulazimisha kupewa kadi bila sababu za msingi. Ameigharimu sana timu na anapaswa kuwajibishwa. Refa hakuwa kwenye kiwango kizuri anapaniki pasipo na sababu na pia kupanikisha wachezaji hasa Samatta alitoka mchezoni kwa dkk kadhaa.

Fei toto hakuwa na mchezo mzuri muda mwingi wa mchezo, stamina mbovu, alipoteza mipira sana na kukaa na mipira hadi timu pinzani wanajipanga. Samatta na Msuva kiwango hakikuwa kizuri pia. Bakari Mwamnyeto alicheza vizuri mno pamoja na wachezaji wote wa ulinzi.
 
pale ilikuwa tupigwe bao mbili kama ingekubaliwa kuwa ile penati ya warundi
 
Kama siyo Serikali ya awamu ya tano tungefungwa nyingi sana.
 
Ass!
Shame on you!
Ask and tell your mom and dad that..muulize if it is proper kutumia maneno hayo kwenye mijadala...mwambie hivyo halafu jibu lake uje utuambia humu jf..kwa sababu mtu anayetumia maneno ya kinyesi kwenye mijadala lazima amepungukiwa kitu kichwani...Ana msongo was mawazo and possibly he/she is smoking something...Mimi mwenyewe nimeshindwa kuliandika Hilo neno nikaona afadhali nitumie kinyesi..kwa sababu Kama ni mfanyakazi wa serikali then we have a very serious problem in our government ...baadala ya kujadiliana mtu analeta matusi..huyo lazima an matatizo kichwani...a frustrated guy...a deranged person .
 
Utasema yote leo!
Bastard!
 
Wewe endelea kutetea upuuzi hamna timu pale.

Mpira si siasa, unashindwa kusema ukweli.

Hakuna mfumo mzuri/ mkakati wa kujenga team ya taifa.

Long term plan hamna, sasa kama unategemea kuokota okota wachezaji kwenye hizo team 18 zilizopo tena nyingi si bora.

Hapo tutaendelea kuwa pale pale.

Acha ujinga. Ulichoandika ni mwendelezo wa upuuz wa jina lako
 
Mechi ya Tunisia kiungo cha chini Majogoro na Elfadhili wa Prisons..juu yao Feisal ..beki wa kushoto Banda...la sivyo tutafubaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…