Sababu za Kumtosa Samir Nasri Sauzi!

Sababu za Kumtosa Samir Nasri Sauzi!

Companero umeongea point,ni kweli bora nasri kuliko diaby,ila wengine nao wanamwona nasri mzuri kisa aliifunga man utd,sema namkubali nasri kuliko diaby,ila hapa hakuna udini mana diaby,ribery,anelka,abidal na sagna wote waislam hao,nasri nae kukosekana sio pengo sana,ila alistahili kuliko kumpeleka diaby ambae mechi kubwa anachemsha diaby mzuri vs small teams.
 
Mpemba bana.................Kila siku nakuuliza swali hunijibu(ukiweka Rossoneri pembeni) ni timu gani waishabikia England weye????
Napenda wachezaji zaidi kuliko timu...Ni kama Spain, siezi sema nashabikia Real au Barca..ndio hivo nilivo.
 
Mh ! Una maana Nasri anyechezea Arsenal au kuna mwingine? Kama ni huyo wamuona kituko, kweli binadamu wote tu sawa lakini hatufanani !
Ni mechi gani ngumu ukiondoa ile walioifunga Man U ambayo Nasri aliiamua? Acheni utani nyie, mnalinganisha viji-dribble uchwara ambavyo 99.99% havizai matunda yeyote vya Nasri kwenye mechi dhidi timu za timu kaa Wolves? Gimme a break! World Cup ni kama fainali, hakutakiwi rojorojo wala halua. Ndio maana Dunga amechagua kikosi kaa Scolari ..hakuna kurembaremba na kuzubaa na mpira.
 
Domenech mfumo anaoutumia Nasri hawezi maana ni mvivu na hajitumi! Kaachwa Benzema nini huyu ?

Nasri ni kituko PERIOD. Namuunga mkono Domenech, ameachwa Vieira atakuwa huyu midget Nasri?

Mkubwa wachezaji waliopeleka timu WC ni wengi mno haiwezekani kwenda nao wote mfano Maradona alitumia wachezaji 100 kwenye game za WC qualification but at the end wanatakiwa waende 23 tu,cha msingi tuangalie viungo ambao kawachua nani aachwe ili Nasri aende kati ya hawa Alou Diarra -Girondins de Bordeaux Lassana Diarra -Real Madrid (ESP) Jeremy Toulalan -Olympique Lyonnais Franck Ribery -Bayern Munich (GER) Yoann Gourcuff -Girondins de Bordeaux Florent Malouda -Chelsea (ENG) Yann M'Vila -Stade Rennais Abou Diaby -Arsenal (ENG

Ni mechi gani ngumu ukiondoa ile walioifunga Man U ambayo Nasri aliiamua? Acheni utani nyie, mnalinganisha viji-dribble uchwara ambavyo 99.99% havizai matunda yeyote vya Nasri kwenye mechi dhidi timu za timu kaa Wolves? Gimme a break! World Cup ni kama fainali, hakutakiwi rojorojo wala halua. Ndio maana Dunga amechagua kikosi kaa Scolari ..hakuna kurembaremba na kuzubaa na mpira.

Wandugu hapo juu.....mtakuwa mnalijua soka kisawasawa.............Pamoja na kuwa Domenech ana-fumble mara kwa mara.........Nasri bado sana
 
Arsenal midfielder Samir Nasri has revealed that several players in the Gunners dressing room refuse to talk to defender, and former captain, William Gallas.

Nasri claims the rift doesn't effect the teams on-field performances, but admits four or five players refuse to communicate with the mercurial centre-back.

Gallas is reportedly set to leave the Emirates this summer after failing to agree a new deal to keep him in north London.

The 32-year-old criticised Nasri in his autobiography for an incident on the French national team coach at Euro 2008, and the young winger confessed relations have been rocky between the pair ever since.

"I don't communicate with him [William Gallas], but I'm not the only one at Arsenal who doesn't have any communication with him," Nasri told The Sun.

"We are four or five, but that doesn't stop us fighting for each other on the pitch.

"You don't get 11 friends in a football team, there are people who have affinities and who get on, but on the pitch we fight for the same cause."
 
Mkuu pole sana mwakani tena trophy-less! I wish leo Arse-Anal wangekuwa final leo na Pompey....umesoma mahali kuwa Cesc anaishia zake Barca hajali kukaa benchi kuliko kuwa kwenye meli inayozama..
Umesomeka Sheikh Yahya............Cesc hata akiondoka mwake tu babaake.......Wengi tu wameondoka Petit,Overmass,Edu,Vieira,Flamini,Hleb n.k.......Arsenal imebaki kuwa Arsenal....Inatakiwa ujiulize Fabregas katokea wapi?,si kaandaliwa...ataandaliwa mwingine kama yeye babu na atawashika tu........Arsenal sio Fabregas mkubwa.......aende zake akapambane na akina Xavi,Iniesta,Pedro,Keita na wengine kugombea namba za dimbani pale...................

Halafu fyi mwaka huu fungu la usajili lipo la kutosha....Tunasajili babu....angalia nyie ndo msije mkawa trophy less(mumshukuru Roman aliyewatoa tongotongo baada ya nusu karne kuusaka ubingwa......yaani Homeboy umesahau kwamba mlikuwa Trophy less kwa 50 years?,leo hii Arsenal ni trophy less for 6 years unawacheka..........hahaaaaaaaaaaa,haya bana)

Mwaka huu tunasajili kiukweli babu....ndo maana ukienda kwa tovuti yetu utakutana na kitu hiki hapa chini:

Transfer Linked | News | Arsenal.com
 
Umesomeka Sheikh Yahya............Cesc hata akiondoka mwake tu babaake.......Wengi tu wameondoka Petit,Overmass,Edu,Vieira,Flamini,Hleb n.k.......Arsenal imebaki kuwa Arsenal....Inatakiwa ujiulize Fabregas katokea wapi?,si kaandaliwa...ataandaliwa mwingine kama yeye babu na atawashika tu........Arsenal sio Fabregas mkubwa.......aende zake akapambane na akina Xavi,Iniesta,Pedro,Keita na wengine kugombea namba za dimbani pale...................

Halafu fyi mwaka huu fungu la usajili lipo la kutosha....Tunasajili babu....angalia nyie ndo msije mkawa trophy less(mumshukuru Roman aliyewatoa tongotongo baada ya nusu karne kuusaka ubingwa......yaani Homeboy umesahau kwamba mlikuwa Trophy less kwa 50 years?,leo hii Arsenal ni trophy less for 6 years unawacheka..........hahaaaaaaaaaaa,haya bana)

Mwaka huu tunasajili kiukweli babu....ndo maana ukienda kwa tovuti yetu utakutana na kitu hiki hapa chini:

Transfer Linked | News | Arsenal.com

Kila mwaka mnasajili...akina Campbell na Silvestre! Manone na Fabianski
 
Laurent Blanc to take France job


By Soccernet staff

Laurent Blanc has stood down as Bordeaux boss in order to become the new head coach of the French national side following the World Cup finals.

laurentblanc20100430presser_275x155.jpg
GettyImagesLaurent Blanc does not have a tough act to follow with France



Blanc earlier told his players of his decision to resign, and will now be confirmed as Raymond Domenech's successor as les Bleus boss when the French Football Federation finalise the terms of the deal.
"I take note of the decision announced today by Laurent Blanc, the day after the last day of the Ligue 1 season, officially declaring his interest for the position of national coach,'' FFF president Jean-Pierre Escalettes said.
"Blanc spoke to me on the telephone after informing his president and his players. This declaration of interest makes me happy. His sporting history, his personality, his charisma, makes Blanc the ideal fit for the profile of the coach of the France team beyond the World Cup.
"In the coming hours, the FFF will take the necessary steps with the relevant parties to define the terms of an agreement allowing Laurent Blanc to take control of the national team next season.''
Blanc was named Bordeaux manager in June 2007 and won the Coupe de la Ligue and the French title in his second season at the club, establishing an impressive reputation in the managerial world.
This season, Blanc took Bordeaux to the quarter-finals of the Champions League but they lost to French rivals Lyon and also fell dramatically off the pace in Ligue 1, eventually finishing in sixth position, 14 points behind champions Marseille.
Bordeaux were keen to retain Blanc's services and were disappointed with the conduct of the FFF, blaming the governing body for contributing to the club's poor end to the season.
"FC Girondins de Bordeaux have just been informed by their coach Laurent Blanc that he wants to accept the offer from the FFF to become France coach,'' a club statement said. "The club wanted to keep Laurent Blanc as coach of the first team until the end of his contract on June 30, 2011.
"Given the special quality of the relationship with the coach during his three years at the club, and the excellent work by Mr Blanc, his assistant Mr Gasset, and his coaching team, FC Girondins de Bordeaux has agreed to talk to the FFF on the question on compensation relating to the release of our coach.
"Despite the damaging statements from members of the FFF, which have undoubtedly affected the end of the 2009-10 season and beyond, FC Girondins de Bordeaux express their willingness to reach a solution acceptable to the club, respectful of its interests and the damage suffered."
Bordeaux are due to give a press conference on Monday, though club director Nicolas de Tavernost said that Blanc's release from the club was conditional only on the club reaching an agreement with the FFF.
"For now, we have received no official notification from him," he said in L'Equipe. "Nothing is settled."
De Tavernost again complained about the behaviour of the FFF, who issued a statement in the wake of Blanc's announcement that only further angered Bordeaux.
De Tavernost said the FFF's behaviour was "not normal". "And it continues to be so, as they issued a statement without even calling us. It's quite amazing," he added.
Blanc was a leading light in France's World Cup glory in 1998, though he missed the final due to suspension, and has now signalled his determination to lead his country as head coach and replace the unpopular Domenech, who took France to the 2006 World Cup final but presided over a disappointing Euro 2008 campaign.
 
final squad hii hapa ,Diaby mbele ya Nasri? kweli kila mtu ana zali lake.flamini nae hayupo na ben arfa katoswa pia.
Squad: Cedric Carrasso (Bordeaux), Hugo Lloris (Lyon), Steve Mandanda (Marseille); Eric Abidal (Barcelona), Gael Clichy (Arsenal), Patrice Evra (Manchester United), William Gallas (Arsenal), Marc Planus (Bordeaux), Anthony Reveillere (Lyon), Bacary Sagna (Arsenal), Sebastien Squillaci (Sevilla); Abou Diaby (Arsenal), Alou Diarra (Bordeaux), Lassana Diarra (Real Madrid), Yoann Gourcuff (Bordeaux), Florent Malouda (Chelsea), Jeremy Toulalan (Lyon); Nicolas Anelka (Chelsea), Djibril Cisse (Panathinaikos), Andre-Pierre Gignac (Toulouse), Sidney Govou (Lyon), Thierry Henry (Barcelona), Franck Ribery (Bayern Munich), Mathieu Valbuena (Marseille).
 
Tabu yetu emotion kwa vilabu vyetu (Arsenal, Man Utd, Chelsea etc), vinaathiri kutoa rational comments zetu. Anyways, fate will tell.
 
Back
Top Bottom