Ayoub Sads
Member
- Sep 30, 2022
- 12
- 8
Wanachama wenzangu habari yenu, niko jambo linanitatiza hivyo nikapendelea nililete kwenu kwasababu hii ni kawaida na ndio dhumuni ya mtandao huu (JF), kushauriana pamoja kupeana hamasa katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo sikujihisi mpweke nikawa na imani kwamba hili tatizo langu nawezq kupata ufumbuzi moja kwa moja kutoka hapa jf..
Nimedhamira kubalidi baadhi ya tabia ambazo ni mbovu kwangu lakini inaniwia ugumu sana, kadri ninavyojisema kesho napiga hatua lakini sitoki hapo kwa maan kwamba narudia kosa. Sasa naona nashindwa na nikwasababu kwa namna hii nimeishii kwa muda mrefu sana, nifanye nini ili niweze kusimama imara juu ya hili..