Sababu za kushindwa kufikia dhamira yangu

Mpaka hapo umeshakosa sifa ya uanaume.

Sifa kuu ya mwanaume ni misimamo isiyoyumbishwa , tukiamua jambo tumeamua.
 



 
Tuambie tujue ni nini hasa cha kutatiza
 
Kitu cha uasi si vema kukielezea in public kwasababu itakuwa naweka ushuhuda. Kwahivyo mkuu nishauri namna ya kuacha tabia mbovu zenye kuitokomeza nafsi kwenye kiza kinene
Sasa hapo ni ngumu ndugu huo uovu unaufanya mda gan
 
Pole sana,,Cha kukushauri kidogo ni jitahidi ulizike na ulichonacho usijilinganishe na marafiki zako ukajiona wewe upo slow kiutafutaji ,,
Madeni yaepuke,,weka vitu vyako Siri,, omba Mungu Kwa Imani yako Mambo yatakaa sawa
 
Ayoub Sads hii imeweza kukusaidia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…