LGE2024 Sababu za kususia kujiandikisha Daftari la Mpigia Kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Quaty

Member
Joined
Oct 12, 2022
Posts
46
Reaction score
146
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:

1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.

2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele.

3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM yenyewe.

4. Polisi ni ma CCM yenyewe

5. Medium ni ma CCM yaliyo changamka.
 
Watu wanajiandikisha kupiga kura, wewe endelea kujishaua kwenye keyboard.
Mwisho wa siku tunakuchagulia kiongozi, upende usipende.
 
Ni kweli wapo, ila sio inavyotakiwa. Hakuna uwezekano watu wataendelea kuchezewa haki yao ya kuchagua viongozi wawatakao, kisha waendelee kujotokeza kujiandikisha kama mazombie. Ujinga una mwisho.
 
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:

1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.

2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele.

3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM yenyewe.

4. Polisi ni ma CCM yenyewe

5. Medium ni ma CCM yaliyo changamka.
Safi kwa maamuzi hayo mkuu. Hivyo ndio CCM inapenda. Acha waendelee kututawala tu mpaka wachoke wao. Kikubwa watupe ajira vijana na sisi tuanze kulea wazee wetu kijijini kisha tukafie mbele. Nchi hii ina wenyewe wengine ni wasindikizaji tu.
 
Boss haupo mwenyewe hata mwenendo tuu Wananchi wamesusia huu uchaguzi
 
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:

1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.

2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele.

3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM yenyewe.

4. Polisi ni ma CCM yenyewe

5. Medium ni ma CCM yaliyo changamka.
Umetumia uhuru wako vile unapenda.

Mimi nimejiandikisha leo japo nilikuwa na ratiba tight sana lakini nikaona ngoja nichelewe activity ya kwanza niliyopanga kuifanya ili nikajiandikishe.

Nimefika katika kituo saa mbili kamili asubuhi nikamkuta mwandikishaji anekaa na wakala wa CCM na CHADEMA wako mlangoni, hakukuwa na raia hata mmoja anayeandikisha, hivyo nikajiandikisha na kuondoka wala sikukawia hata kidogo.

Nikatafakari ingekuwa zanzibar kungekuwa na wananchi wengi kituoni.

Watanganyika ni mafundi wa kulalamika katika social media huku kutimiza wajibu wa,msingi ni wazito. Hivi vyana je vimewahamasisha wanachama wao kujiandikisha? Ccm wao wanahamasishana kujiandikisha.

Endelea kujadili na kufuatiloa Simba na yanga tangu asubuhi leo wanacheza na nani na yupi atashinda huku maisha yakiendelea kuwa magumu sababu mafisadi wanapeta katikati ya wataganyika waliotopea katika usingizi wa pono.

Mafisadi wa Tanga yika wanafisadi kwa raha zao tofauti na nchi zingine ambazo raia wake wako watchful na kinachoendelea nchini mwao.
 
Tatizo tayari wanawashindi wao sasa kwanini ukapoteze mda kujiandikisha na kupiga kura kilichotokea 2020 hapana aiseee sitarudia kupiga kura labda tume iwe huru kwa asilimia 100 tofauti na hapo ni kupoteza mda
 
Umetumia uhuru wako vile unapenda.

Mimi nimejiandikisha leo japo nilikuwa na ratiba tight sana lakini nikaona ngoja nichelewe activity ya kwanza niliyopanga kuifanya ili nikajiandikishe.

Nimefika katika kituo saa mbili kamili asubuhi nikamkuta mwandikishaji anekaa na wakala wa CCM na CHADEMA wako mlangoni, hakukuwa na raia hata mmoja anayeandikisha, hivyo nikajiandikisha na kuondoka wala sikukawia hata kidogo.

Nikatafakari ingekuwa zanzibar kungekuwa na wananchi wengi kituoni.

Watanganyika ni mafundi wa kulalamika katika social media huku kutimiza wajibu wa,msingi ni wazito. Hivi vyana je vimewahamasisha wanachama wao kujiandikisha? Ccm wao wanahamasishana kujiandikisha.

Endelea kujadili na kufuatiloa Simba na yanga tangu asubuhi leo wanacheza na nani na yupi atashinda huku maisha yakiendelea kuwa magumu sababu mafisadi wanapeta katikati ya wataganyika waliotopea katika usingizi wa pono.

Mafisadi wa Tanga yika wanafisadi kwa raha zao tofauti na nchi zingine ambazo raia wake wako watchful na kinachoendelea nchini mwao.
Ccm lazima wajiandikishe maana wao hawana hofu ya kura zao kuibiwa. Ni wendawazimu kuamini kwa mazingira na mfumo huu kura zina maana. Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la irejee.
 
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:

1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.

2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele.

3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM yenyewe.

4. Polisi ni ma CCM yenyewe

5. Medium ni ma CCM yaliyo changamka.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Wasting of time&money, jamaa washamaliza biashara kitambo
Sana

Ova
 
Back
Top Bottom