Ni kweli wapo, ila sio inavyotakiwa. Hakuna uwezekano watu wataendelea kuchezewa haki yao ya kuchagua viongozi wawatakao, kisha waendelee kujotokeza kujiandikisha kama mazombie. Ujinga una mwisho.Watu wanajiandikisha kupiga kura, wewe endelea kujishaua kwenye keyboard.
Mwisho wa siku tunakuchagulia kiongozi, upende usipende.
Safi kwa maamuzi hayo mkuu. Hivyo ndio CCM inapenda. Acha waendelee kututawala tu mpaka wachoke wao. Kikubwa watupe ajira vijana na sisi tuanze kulea wazee wetu kijijini kisha tukafie mbele. Nchi hii ina wenyewe wengine ni wasindikizaji tu.Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:
1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.
2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele.
3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM yenyewe.
4. Polisi ni ma CCM yenyewe
5. Medium ni ma CCM yaliyo changamka.
Umetumia uhuru wako vile unapenda.Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:
1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.
2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele.
3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM yenyewe.
4. Polisi ni ma CCM yenyewe
5. Medium ni ma CCM yaliyo changamka.
Tatizo tayari wanawashindi wao sasa kwanini ukapoteze mda kujiandikisha na kupiga kura kilichotokea 2020 hapana aiseee sitarudia kupiga kura labda tume iwe huru kwa asilimia 100 tofauti na hapo ni kupoteza mdaUmetumia uhuru wako vile unapenda.
Mimi nimejiandikisha leo japo nilikuwa na ratiba tight sana lakini nikaona ngoja nichelewe activity ya kwanza niliyopanga kuifanya ili nikajiandikishe.
Nimefika katika kituo saa mbili kamili asubuhi nikamkuta mwandikishaji anekaa na wakala wa CCM na CHADEMA wako mlangoni, hakukuwa na raia hata mmoja anayeandikisha, hivyo nikajiandikisha na kuondoka wala sikukawia hata kidogo.
Nikatafakari ingekuwa zanzibar kungekuwa na wananchi wengi kituoni.
Watanganyika ni mafundi wa kulalamika katika social media huku kutimiza wajibu wa,msingi ni wazito. Hivi vyana je vimewahamasisha wanachama wao kujiandikisha? Ccm wao wanahamasishana kujiandikisha.
Endelea kujadili na kufuatiloa Simba na yanga tangu asubuhi leo wanacheza na nani na yupi atashinda huku maisha yakiendelea kuwa magumu sababu mafisadi wanapeta katikati ya wataganyika waliotopea katika usingizi wa pono.
Mafisadi wa Tanga yika wanafisadi kwa raha zao tofauti na nchi zingine ambazo raia wake wako watchful na kinachoendelea nchini mwao.
Ccm lazima wajiandikishe maana wao hawana hofu ya kura zao kuibiwa. Ni wendawazimu kuamini kwa mazingira na mfumo huu kura zina maana. Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la irejee.Umetumia uhuru wako vile unapenda.
Mimi nimejiandikisha leo japo nilikuwa na ratiba tight sana lakini nikaona ngoja nichelewe activity ya kwanza niliyopanga kuifanya ili nikajiandikishe.
Nimefika katika kituo saa mbili kamili asubuhi nikamkuta mwandikishaji anekaa na wakala wa CCM na CHADEMA wako mlangoni, hakukuwa na raia hata mmoja anayeandikisha, hivyo nikajiandikisha na kuondoka wala sikukawia hata kidogo.
Nikatafakari ingekuwa zanzibar kungekuwa na wananchi wengi kituoni.
Watanganyika ni mafundi wa kulalamika katika social media huku kutimiza wajibu wa,msingi ni wazito. Hivi vyana je vimewahamasisha wanachama wao kujiandikisha? Ccm wao wanahamasishana kujiandikisha.
Endelea kujadili na kufuatiloa Simba na yanga tangu asubuhi leo wanacheza na nani na yupi atashinda huku maisha yakiendelea kuwa magumu sababu mafisadi wanapeta katikati ya wataganyika waliotopea katika usingizi wa pono.
Mafisadi wa Tanga yika wanafisadi kwa raha zao tofauti na nchi zingine ambazo raia wake wako watchful na kinachoendelea nchini mwao.
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha: