Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ni dhahiri na wazi kabisa wasanii wengi wa bongo fleva na bongo movie katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wamekuwa vinara wa kuvipga tafu vyama vya siasa, wengi wana support viama hivi kwa njia mbali mbali kama kupost picha instagram, kupigia debe vyamakwenye show za majukwaani na wengine kusaliti vyama na kwenda vyama wanvyovipigia debe ili hicho chama kionekane bora, n.k kwa ufupi tu ni kwamba Tanzania tuna bahati kwa sasa wananchi wengi wanajua kutnganisha kati ya siasa na ushabiki wao kwa wasanii, ila hii post imelenga zaidi kuwastusha watu wanaofata mkombo kwa ushabiki kwa wasanii wao.
1. WASANII WENGI HAWANA ELIMU - Wasanii wengi sote tunajua wameishia form four, hivi leo hii mtu aliefeli civics ndio anakua mstari wa mbele kabisa kwamba chama fulani ni sahihi hapo ni sawa na mchunga mbuzi kukushauri ununuaji wa simu ambazo hana uzoefu nao, wewe ni mwananchi wa nchi hii pigia kura chama unachoona ni sahihi kitakacholeta maendeleo na sio kile ambacho msanii wako anakipenda, STUKA!!!!
2. WASANII WANAPEWA HELA NA VYAMA - Wasanii wamekuwa wakipewa hela nyingi tu ili kusupport vyama,msanii anapewa hela nyongi ili apige show kwenye jukwaa na mwishowe kukipigia tafu hicho chama hadi mitandaoni, wakati wewe huingizi chochote kwa kufata chama fulani kwa sababu msanii fulani anakishabikia jua tu huyo msanii anapiga mpunga mrefu STUKA!!!!
3.KUNA WASANII WANAJALI MASLAHI YAO BINAFSI TU - Usidanganyike kwamba ukiiga chama cha msanii unaempenda utafaidika, wasanii wanchotaka ni kuongeza umaaufu wao kupitia show na kuingiza pesa, kuna msanii kipindi flani alisema hawezi kupiga show mbeya kwasababu hakuna hoteli inayomfaa, ni wazi kabisa hapa kufanya show tu ni kwa ajili ya maslahi yake na sio kwa mashabiki, STUKA!!!!
4.WASANII WENGI HAWANA MAADILI YA KUWA MFANO KWA JAMII - Wasanii wengi sana wamekuwa wakihusishwa na skendo za umalaya, kuiba waume/wake za watu na hata kuliaisha taifa letu wawapo huko majuu, ni swala dogo tu la kujiuliza, Sikuzote ushauri huwa tunapewa na watu wenye maadili ndani ya jamii wanaofaa kuigwa, sasa mwenzangu unayesupport chama fulani kisa msanii fulani na unajua kabisa huyo msanii ni skendo chafu kila siku nakushauri usifuate huo mkumbo, STUKA!!!!
Baada ya uchaguzi maisha yanendelea, ewe mwananchi usiteme big g kwa karanga za kuonjeshwa kuwa na msimamo wako kwa kuchagua kiongozi bora ataelinda maslahi yako na familia yako, hawa wasanii kazi yao ni kutumbuiza nafsi zetu na sio kutuhamasisha kumchagua kiongozi fulani,kwa kipindi hiki cha uchaguzi kuwa na msimamo wako na utunze kichinjio chako kujiandaa kwenda machinjoni october 25, nadhani nimeeleweka na kama huna uhakia na chama sahihi pigia kura chama kinachopendwa na watu wengi kwa sasa.