Mwanantala
Senior Member
- May 13, 2010
- 130
- 26
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua usiri wa matokeo ya kidato cha pili ni wa nini hata kupelekea wanafunzi na wazazi kupata usumbufu mkubwa kuyapata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KulikoniHuu ni ufisadi mpya,hata ya 4m4 mwaka huu watapelekewa wazi,wanasema kiwango cha ufaulu kimepanda,swali kwa nini wasiweke hadharani kama kweli yamepanda,kuingiza siasa kwenye elimu tatizo.mlugo anakazi yakuwatafuta waliosambaza hutuba yake ya south na walimu wanaotumiana sms kuhamasisha makunji