Sababu za kutoweka mtandaoni matokeo ya kidato cha pili

Mwanantala

Senior Member
Joined
May 13, 2010
Posts
130
Reaction score
26
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua usiri wa matokeo ya kidato cha pili ni wa nini hata kupelekea wanafunzi na wazazi kupata usumbufu mkubwa kuyapata.
 
acha maneno yako umeenda katika shule anayosoma mwanao umeyakosa?
 
Huu ni ufisadi mpya,hata ya 4m4 mwaka huu watapelekewa wazi,wanasema kiwango cha ufaulu kimepanda,swali kwa nini wasiweke hadharani kama kweli yamepanda,kuingiza siasa kwenye elimu tatizo.mlugo anakazi yakuwatafuta waliosambaza hutuba yake ya south na walimu wanaotumiana sms kuhamasisha makunji
 
Kulikoni
 
Back
Top Bottom