Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Kwanini hawapendi kufuata taratibu?Kwanin mnatumia dola kuwadhibiti kama wananchi wana mwitikio mdogo kwemye mikutano ya chadema?
Bado ndo tupo kwenye process, zikikamilika nitakujuza. Baki na pole yako kwanzaPole rashda Kwa kuachwa
Duh huu ulikua mkutano wa wapi?1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza imani na chama hicho.
2. Migogoro ya Kiutawala na Ugumu wa Kujenga Umoja wa Chama: Migogoro ya mara kwa mara ndani ya CHADEMA, ikiwa ni pamoja na tofauti za kimaoni na vita vya madaraka, inachangia kupoteza imani ya wananchi kwa chama.
3. Kutokuwa na Sera za Kisiasa Zinazogusa Maisha ya Wananchi: Wananchi wanahitaji kuona kwamba chama kinajali masuala yao ya kila siku, kama vile ajira, elimu, afya, na huduma za kijamii. Ikiwa CHADEMA kinasimama zaidi kwenye siasa za upinzani na kushambulia serikali, lakini hakina sera zinazohusiana moja kwa moja na maslahi ya wananchi, inaweza kupoteza imani ya umma. Wananchi wanataka kuona mabadiliko ya kweli na si siasa tu.
4. Uongozi Duni na Kukosekana kwa Maendeleo ya Kivitendo: Viongozi wa CHADEMA wameshuhudiwa kuzungumza sana kuhusu matatizo ya nchi lakini hawana mikakati ya wazi na ya kutekelezeka kuhusu jinsi ya kutatua matatizo hayo. Hii inasababisha wananchi kuona chama hicho hakina mchango wa kivitendo katika kuboresha hali zao, na hivyo wanakosa motisha ya kuhudhuria mikutano au kuwaunga mkono.
Hayo ni baadhi ya mambo machache kati ya mengi yanayosababisha kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA tena mbaya zaidi hata ambayo yupo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu.
CHADEMA BADILIKENI, MSIPOView attachment 3283916 BADILIKA OKTOBA 2025 MSIJE KULILIA HUKU.
Wee fala kumbe umejiunga JamiiForums?1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza imani na chama hicho.
2. Migogoro ya Kiutawala na Ugumu wa Kujenga Umoja wa Chama: Migogoro ya mara kwa mara ndani ya CHADEMA, ikiwa ni pamoja na tofauti za kimaoni na vita vya madaraka, inachangia kupoteza imani ya wananchi kwa chama.
3. Kutokuwa na Sera za Kisiasa Zinazogusa Maisha ya Wananchi: Wananchi wanahitaji kuona kwamba chama kinajali masuala yao ya kila siku, kama vile ajira, elimu, afya, na huduma za kijamii. Ikiwa CHADEMA kinasimama zaidi kwenye siasa za upinzani na kushambulia serikali, lakini hakina sera zinazohusiana moja kwa moja na maslahi ya wananchi, inaweza kupoteza imani ya umma. Wananchi wanataka kuona mabadiliko ya kweli na si siasa tu.
4. Uongozi Duni na Kukosekana kwa Maendeleo ya Kivitendo: Viongozi wa CHADEMA wameshuhudiwa kuzungumza sana kuhusu matatizo ya nchi lakini hawana mikakati ya wazi na ya kutekelezeka kuhusu jinsi ya kutatua matatizo hayo. Hii inasababisha wananchi kuona chama hicho hakina mchango wa kivitendo katika kuboresha hali zao, na hivyo wanakosa motisha ya kuhudhuria mikutano au kuwaunga mkono.
Hayo ni baadhi ya mambo machache kati ya mengi yanayosababisha kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA tena mbaya zaidi hata ambayo yupo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu.
CHADEMA BADILIKENI, MSIPOView attachment 3283916 BADILIKA OKTOBA 2025 MSIJE KULILIA HUKU.
Kaangalie mkutano wao RukwaDuh huu ulikua mkutano wa wapi?
Ndo unashtuka leo?Wee fala kumbe umejiunga JamiiForums?
Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Pole mwayaSi mnatutisha na polisi Au hamjui
Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Pole mwaya
Kama upo Dar pole maana nimesafiri. Ila kama upo Morogoro karibu sana ForestNistiri Kwa Iftar Tamuu Kutoka Kwako Leo,,Kama Hutojali Ustaadhat Rash....###NjeYaMada###
Watu wengine bwana ingia YouTube uone huo mkutano wa rukwa ulikuwaje watu walikuwa wengi mno.1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza imani na chama hicho.
2. Migogoro ya Kiutawala na Ugumu wa Kujenga Umoja wa Chama: Migogoro ya mara kwa mara ndani ya CHADEMA, ikiwa ni pamoja na tofauti za kimaoni na vita vya madaraka, inachangia kupoteza imani ya wananchi kwa chama.
3. Kutokuwa na Sera za Kisiasa Zinazogusa Maisha ya Wananchi: Wananchi wanahitaji kuona kwamba chama kinajali masuala yao ya kila siku, kama vile ajira, elimu, afya, na huduma za kijamii. Ikiwa CHADEMA kinasimama zaidi kwenye siasa za upinzani na kushambulia serikali, lakini hakina sera zinazohusiana moja kwa moja na maslahi ya wananchi, inaweza kupoteza imani ya umma. Wananchi wanataka kuona mabadiliko ya kweli na si siasa tu.
4. Uongozi Duni na Kukosekana kwa Maendeleo ya Kivitendo: Viongozi wa CHADEMA wameshuhudiwa kuzungumza sana kuhusu matatizo ya nchi lakini hawana mikakati ya wazi na ya kutekelezeka kuhusu jinsi ya kutatua matatizo hayo. Hii inasababisha wananchi kuona chama hicho hakina mchango wa kivitendo katika kuboresha hali zao, na hivyo wanakosa motisha ya kuhudhuria mikutano au kuwaunga mkono.
Hayo ni baadhi ya mambo machache kati ya mengi yanayosababisha kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA tena mbaya zaidi hata ambayo yupo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu.
CHADEMA BADILIKENI, MSIPOView attachment 3283916 BADILIKA OKTOBA 2025 MSIJE KULILIA HUKU.
Pole Naipokea,,Kwa Kuwa Kinachonisikitisha Nami Kwa Upande Wangu Sipo Dar Na Wala Sipo Moro,Nipo Dom,,Acha Turuhusu Na Kushukuru Kila Siku Na Kila Wakati Kwa Muweza Wa Vyote Kuharibu Ratiba Zetu,,Kwa Kuwa Twaamini Ndani Ya Ratiba Yake Kuna Ratiba Zetu Pia.Kama upo Dar pole maana nimesafiri. Ila kama upo Morogoro karibu sana Forest
Sina haja yakuingia Youtube, picha zao tu zinaonyesha. Kama unabisha angalia za leo huyo dada yenu Hilda amezipost. Ukirudi hapa uje ueleze kwann wanapicha picha nusunusu hawaonyeshi uwanja mzima.Watu wengine bwana ingia YouTube uone huo mkutano wa rukwa ulikuwaje watu walikuwa wengi mno.
Mnachujua picha kabla ya tukio asubuhi au baada ya watu kutawanyika
Ftari njema mwayaPole Naipokea,,Kwa Kuwa Kinachonisikitisha Nami Kwa Upande Wangu Sipo Dar Na Wala Sipo Moro,Nipo Dom,,Acha Turuhusu Na Kushukuru Kila Siku Na Kila Wakati Kwa Muweza Wa Vyote Kuharibu Ratiba Zetu,,Kwa Kuwa Twaamini Ndani Ya Ratiba Yake Kuna Ratiba Zetu Pia.
Na Kwako Pia Ustaadhat Rash...!!!Ftari njema mwaya