Motoekoppela te
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 413
- 679
Nilidhani jamii forum ni ya 'great thinkers ' kumbe hata huyu anaposti? Tumeshuka sana viwango😂😂😂
Tumeona mgombea urais wa ccm kapitishwa kinyume na taratibu unasemaje hilo?.Kwanini hawapendi kufuata taratibu?
Sema ni taratibu gani iliyokuwa haifuatwi?Kwanini hawapendi kufuata taratibu?
Acha uongoo nenda muda huu YouTube stream live anahutubia watu wapi wa kutosha tu . Hizo ni propaganda za kihuniFtari njema mwaya
Na wewe umekuwa chawa wa mama siku hizi. Hii picha ni ya zamani kweli na mafi-emu walipiga kimkakati ili ionekane kuwa hakuna watu. Tena siku hiyo mvua ilinyesha.Duh huu ulikua mkutano wa wapi?
Na mwezi mtukufu katikati ya mfungo mtu anasema uongoFtari njema mwaya
Sina haja yakuingia Youtube, picha zao tu zinaonyesha. Kama unabisha angalia za leo huyo dada yenu Hilda amezipost. Ukirudi hapa uje ueleze kwann wanapicha picha nusunusu hawaonyeshi uwanja mzima.
Wewe ni mpumbavu Sana Sana sanaKwanini hawapendi kufuata taratibu?
Ndani ya katiba yenu...!Pole Naipokea,,Kwa Kuwa Kinachonisikitisha Nami Kwa Upande Wangu Sipo Dar Na Wala Sipo Moro,Nipo Dom,,Acha Turuhusu Na Kushukuru Kila Siku Na Kila Wakati Kwa Muweza Wa Vyote Kuharibu Ratiba Zetu,,Kwa Kuwa Twaamini Ndani Ya Ratiba Yake Kuna Ratiba Zetu Pia.
Labda wewe ndio huangalii mikutano ya CHADEMA Rukwa.Kaangalie mkutano wao Rukwa
Nyie wajukuu wa ntume na hayo maushungi yenu mnadhani mkisema mtamlinda maushungi Samia na majini ya msikitini watanzania wataogopa? Wale ma-sheikh wenye akili za nyumbu walikuwa wanafurahia kuwa Samia amewapa waarabu bandari wakidhani wanakomoa wakristo kumbe hasara ni ya watanzania wote. Mwarabu anamuona mtu mweusi kama nyani tu hata awe mwislam lakini kwa ujinga na upumbavu wenu huwa mnawaona kama wako karibu na Allah kuliko ninyi. Vueni ma-ushungi yenu yanayoficha madhambi meusi kama lami.1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza imani na chama hicho.
2. Migogoro ya Kiutawala na Ugumu wa Kujenga Umoja wa Chama: Migogoro ya mara kwa mara ndani ya CHADEMA, ikiwa ni pamoja na tofauti za kimaoni na vita vya madaraka, inachangia kupoteza imani ya wananchi kwa chama.
3. Kutokuwa na Sera za Kisiasa Zinazogusa Maisha ya Wananchi: Wananchi wanahitaji kuona kwamba chama kinajali masuala yao ya kila siku, kama vile ajira, elimu, afya, na huduma za kijamii. Ikiwa CHADEMA kinasimama zaidi kwenye siasa za upinzani na kushambulia serikali, lakini hakina sera zinazohusiana moja kwa moja na maslahi ya wananchi, inaweza kupoteza imani ya umma. Wananchi wanataka kuona mabadiliko ya kweli na si siasa tu.
4. Uongozi Duni na Kukosekana kwa Maendeleo ya Kivitendo: Viongozi wa CHADEMA wameshuhudiwa kuzungumza sana kuhusu matatizo ya nchi lakini hawana mikakati ya wazi na ya kutekelezeka kuhusu jinsi ya kutatua matatizo hayo. Hii inasababisha wananchi kuona chama hicho hakina mchango wa kivitendo katika kuboresha hali zao, na hivyo wanakosa motisha ya kuhudhuria mikutano au kuwaunga mkono.
Hayo ni baadhi ya mambo machache kati ya mengi yanayosababisha kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA tena mbaya zaidi hata ambayo yupo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu.
CHADEMA BADILIKENI, MSIPOView attachment 3283916 BADILIKA OKTOBA 2025 MSIJE KULILIA HUKU.
Mpuuzi mmoja huyu achana nae, halafu eti amefunga, amefunga Kula Tu wala sio DHAMBI zake. Mjinga Mmoja huyuWatu wengine bwana ingia YouTube uone huo mkutano wa rukwa ulikuwaje watu walikuwa wengi mno.
Mnachujua picha kabla ya tukio asubuhi au baada ya watu kutawanyika
Hii picha ya zamani kabisa kipindi cha Mbowe akiwa mwenyekiti na tena siku hiyo kulikuwa na mvua.Acha uongoo nenda muda huu YouTube stream live anahutubia watu wapi wa kutosha tu . Hizo ni propaganda za kihuni
Kufunga gani hii mijitu ina dhambi nyeusi kama lami? Inajificha kwenye ushungI kila siku lakini ukiambiwa ya ndani wanayofanya utaona kweli binadamu wengine hawana tofauti na shetani kimatendo.Mpuuzi mmoja huyu achana nae, halafu eti amefunga, amefunga Kula Tu wala sio DHAMBI zake. Mjinga Mmoja huyu
Itakuwa mkutana wa .toa post na mchumba wakeDuh huu ulikua mkutano wa wapi?
Kazi na Utu. Tunasonga mbeleNilidhani jamii forum ni ya 'great thinkers ' kumbe hata huyu anaposti? Tumeshuka sana viwango😂😂😂