PreGE2025 Sababu za kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kushiriki mikutano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nilidhani jamii forum ni ya 'great thinkers ' kumbe hata huyu anaposti? Tumeshuka sana viwango๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Duh huu ulikua mkutano wa wapi?
Na wewe umekuwa chawa wa mama siku hizi. Hii picha ni ya zamani kweli na mafi-emu walipiga kimkakati ili ionekane kuwa hakuna watu. Tena siku hiyo mvua ilinyesha.
 
Sina haja yakuingia Youtube, picha zao tu zinaonyesha. Kama unabisha angalia za leo huyo dada yenu Hilda amezipost. Ukirudi hapa uje ueleze kwann wanapicha picha nusunusu hawaonyeshi uwanja mzima.
 

Attachments

  • Screenshot_20250326-175035.png
    539.3 KB · Views: 14
CCM kweli mmeshikwqla pabaya. Mnadhani hizi ni zama za kuwadangqnyq watu wakati tunaona wenyewe

Hizo picha za kutengeneza kaeni nazo huko Lumumba.
 
Ndani ya katiba yenu...!
 
Nyie wajukuu wa ntume na hayo maushungi yenu mnadhani mkisema mtamlinda maushungi Samia na majini ya msikitini watanzania wataogopa? Wale ma-sheikh wenye akili za nyumbu walikuwa wanafurahia kuwa Samia amewapa waarabu bandari wakidhani wanakomoa wakristo kumbe hasara ni ya watanzania wote. Mwarabu anamuona mtu mweusi kama nyani tu hata awe mwislam lakini kwa ujinga na upumbavu wenu huwa mnawaona kama wako karibu na Allah kuliko ninyi. Vueni ma-ushungi yenu yanayoficha madhambi meusi kama lami.
 
Watu wengine bwana ingia YouTube uone huo mkutano wa rukwa ulikuwaje watu walikuwa wengi mno.
Mnachujua picha kabla ya tukio asubuhi au baada ya watu kutawanyika
Mpuuzi mmoja huyu achana nae, halafu eti amefunga, amefunga Kula Tu wala sio DHAMBI zake. Mjinga Mmoja huyu
 
Acha uongoo nenda muda huu YouTube stream live anahutubia watu wapi wa kutosha tu . Hizo ni propaganda za kihuni
Hii picha ya zamani kabisa kipindi cha Mbowe akiwa mwenyekiti na tena siku hiyo kulikuwa na mvua.
 
Naona umepumzisha ID yako ya kila siku sasa umefufua hii kwa kazi maalum
 
Huyu dada Malaya Malaya tu analeta taarifa za kimalaya malaya
 
Mpuuzi mmoja huyu achana nae, halafu eti amefunga, amefunga Kula Tu wala sio DHAMBI zake. Mjinga Mmoja huyu
Kufunga gani hii mijitu ina dhambi nyeusi kama lami? Inajificha kwenye ushungI kila siku lakini ukiambiwa ya ndani wanayofanya utaona kweli binadamu wengine hawana tofauti na shetani kimatendo.
 
Ungekuwa mdogo Makalla huyo boss wako angehaha hadi anaanza kuropoka hovyo.

No reform No election ishakamata nchi kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ