PreGE2025 Sababu za kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kushiriki mikutano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unatumia Picha ilopigwa masaaa mengi nyuma kabla au sio, kuja na Hoja yakonya kipuuzi .

Hivi CCM huko hamna kabisa kabisa alobaki na akili???

Umemtizama LISSU Sumbawanga ?? Heche Njombe??

Na hao ni wananchi wanakuja kusikiliza ,sio kuwatizama Akina Diamond , na usafiri wa Bure na Kulipwa juu
 
Ungekuwa mdogo Makalla huyo boss wako angehaha hadi anaanza kuropoka hovyo.

No reform No election ishakamata nchi kijana.
Huyo Mjinga , Mkutano aloupiga LISSU Leo hapo Sumbawanga.

ITOSHE KUSEMA, CCM IJITAFAKARI MARA 100.
 
Kazi na Utu. Tunasonga mbele

Ndo akili yako ilipoishia?.

Hivi CCM Haina Vijana Smart kichwan ambao wanaweza kusimama kuongea Hoja na Si vihoja kama hivi?.

Hivi Dunia ya Teknolojia ya Sasa, Bado tu Kuna MTU anaweza kuongea Pumba ??.


Yaan Propaganda, haimaanishi kuongea Pumba pumba
 
CCM kweli mmeshikwqla pabaya. Mnadhani hizi ni zama za kuwadangqnyq watu wakati tunaona wenyewe

Hizo picha za kutengeneza kaeni nazo huko Lumumba.
Mkuu nadhan CCM asilimia Kubwa Kuna watu wenye mtindio wa ubongo.

Hivi inawezekana vipi MTU mpaka anaamua kuandika Pumba kama hizi??.

Kuanzia Wafuasi mpaka viongozi wa CCM ni ujinga ujinga .

Yaan CCM Inakua na watu wajinga mpaka unakasirika.
 
Una stress za kuachika wewe.
Au upeo mdogo.
Ukweli ni kwamba sisi CCM tujipange vyema kupambana na CHADEMA.
 
5. Tabia mbaya ya kuombaomba kuchangiwa pesa za pocket money, kunywea whisky na nyama.
jambo hili limekua likiwakwaza na kuwakera wananchadema wengi kwa muda mrefu, na kwamba wana changia halafu hakuna matokeo ya maana dhidi ya wananchokichangia.

6. Kua na utopian policies ambazo kabisa hazitekelezeki na wala hazina faida hata moja kwa chadema na kwa
mwananchi, mathalani hili la no reform no elections n.k

mikutano ya chadema itaendelea kudora baada ya team mbowe na team lisu kujidhihirisha wazi kwa ubabe na kutunishiana misuli miongoni mwa viongozia waandamizi wa chama kitua ambacho kimeanza kuzua fujo na vurugu, hali ambayo itawafanya wananchi wasihudhurie tena mikutana ya fujo ya chadema
 
Na wewe umekuwa chawa wa mama siku hizi. Hii picha ni ya zamani kweli na mafi-emu walipiga kimkakati ili ionekane kuwa hakuna watu. Tena siku hiyo mvua ilinyesha.
Mi nimeuliza tu nijue ni wapi? Kuuliza nako ni kosa? Au nipangie nilipaswa niandike nini?
 
Dada Rashida, Mambo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…