Sababu za kwa nini CCM itaanguka kwenye uchaguzi wa 2025

Tusahau kuiondoa ccm kwa katiba na tume hii.

Kwa katiba hii rais ni kama Mungu wa watanzania, anaamua na kufanya atakacho
 
bureti na mbili na namba tatu ni bomu la hatari kwa CCM kama wakipata mpinzani mwenye kujielewe na kama kuna tume huru CCM yangu haichomoki hapa.CCM inaitaji kujichunguza na kujirekebisha haraka sana kama inataka kuwepo madarakani 2025 bila ubabe.
 
Haya ni matamanio.

Yanaweza kuwa matamanio ya wengi.

Lakini ni kama Dua, Dua la kuku... Dua la kuku kwa mwewe..


Uchaguzi bado una changamoto.

Mchakato ukibadilishwa nitakuwa na Imani na hiyo ndoto.
 
Ni aibu sana kwa watu ambao wanaishi kwa kodi zetu ktk maisha yao yote ikiwa ni pamoja na kutibiwa nje ya nchi, kupima afya nje, kulipwa mafao manono, magari makali, madereva, walinzi, wapambe na bado mtu unaliingiza Taifa hilohilo ktk mikataba ya kihuni kabisa na hasara kubwa bila hofu ya Mungu. laana kubwa sana kwao, famiilia, wajukuu, vitukuu hadi kizazi zha kumi!
 
Tusipoindoa CCm madarakani kwa nguvu ya aina yoyote ile watakuja kutuuza siku moja! walianza na Loliondo, ngorongora na sasa Bandari!
 
Ccm inaamini kuwa mfumo wa watu kujua kusoma na kuandika tu bado unafanya kazi kumbe umepitwa na wakati.

2. Wengi wamegundua sababu za mama kuuza mali za familia baada ya baba kufariki- hili limeonekana.

3. Wengi wamegundua kuwa baada ya baba kufariki nyumba inasimamiwa na mama na inaongozwa na baba wa kambo.

4. Awamu ya pili na ya sita zimefanana na zina matatizo makubwa
 
Uchaguzi huwa wanaiba kura, kikubwa tunachotaka, vipengele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika viondolewe
 
Shida sio nani atashinda shida nani anaweza simama huko kwenye upinzani na aka fit
 
Kitendo cha kupewa uhuru wa kuikosoa Serikali hadharani bila hofu yoyote ni credit kubwa sana kwa Mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ni Rais bora kuliko mtangulizi wake na 2025 atashinda kwa kishindo kikubwa. Jiulize mtoa post enzi za Jiwe ungeandika huu upuuzi wako?
 
Atashinda maana wapinzani wakabila na wabaguzi .

Labda kije chama kipya chini ya slogan ya Magufuli.
 
Endelea kuota ndoto.... tutaenda na CHAMA CHA MAPINDUZI ✅
 
Kushindwa kutafuta muwekezaji kwenye kiwanja cha ndege cha chato tupate ndege nyingi.

Kushindwa kutafuta muwekezaji kwenye mbuga za wanya za Buligi tupate watalii wengi.

Kushindwa kutafuta muwekezaji kwenye mahakama zetu ili kupunguza kesi au kuzimaliza kabisa.
 
Kwa Katiba na NEC hii CCM itatangazwa imeshinda hata ikikataliwa kwa 100%
 
Hakika, kilichotokea kwa ANC ya Afrika Kusini kinaweza kuitokea CCM. Lakini tusiombe Gen Z ya Watanzania ikaibuka, hali itakuwa mbaya zaidi kwa CCM.
 
Ndio tuhamasishane sasa siku ikifika tujitokeze kupiga kura.. Sio hatuitaki CCM na hatutaki kupiga kura .
 
Watanzania ni maiti, bado kuoza na kunuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…