Sababu za kwa nini CCM itaanguka kwenye uchaguzi wa 2025

Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo;

  • ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa macho kuona ufisadi ulivyotamalaki kwenye uongozi huu. Rejea ripoti ya CIG
  • Uzanzibar wake. Huyu mama kaonesha wazi kupendelea Zanzibar kwenye teuzi hata mambo yasioya muungano kaweka ndugu zake wa Zanzibar. Mikopo na pesa nyingi inaelekezwa Zanzibar huku wanaolipia gharama hizo ni watanganyika.
  • Mama kuongoza kampeni ya kuuza mapande ya ardhi ya watanganyika kwa ndugu zake wa uarabuni huku wazawa wakiamishwa kama misukule cheki sakata La Loliondo, DP world n.k
  • Ugumu wa maisha na kupanda kwa bei ya vitu muhimu kama chakula, usafiri. Hapa serikali ya awamu ya 6 imechemka vibaya, vitu muhimu havishikiki sokoni. Chakula bei juu, usafiri bei juu, bill za DAWASA NA TANESCO bei juu kils kitu bei juu kinachofanya maisha ya wananchi kuendelea kuwa magumu. Wananchi wanajihoji au kwa kuwa viongozi hao wanakuta misosi mezani, mafuta na magari bure ndo maana wanashindwa kumpunguzia mzigo hii wananchi??
  • mfumo dume, bado watanzania wengi hawaamini katika mfumo jike kuongoza kwa nafasi kubwa kama mkuu wa nchi. Hivyo wengi wanaona mama samia bado hatoshi kupambana kama rais wa nchi. Ukitaka kuamini hili hata ukiuliza akina mama wa mtaani kuhusu samia wengi wanadai hawaoni anachokifanya, akina mama wao wanamlalamikia juu ya kupanda kwa bei masokoni bila tamko la kudhibiti na bei zikatembea vizuri.
  • makundi ndani ya CCM, ndani ya CCM kumeibuka makundi hatari hasa baada ya kifo cha Magufuli. Kundi la kwanza SUKUMA GANG kundi linalojitanabaisha kwa kupinga ufisadi na kudumisha uzalendo kwa nchi huku likituumu kundi lingine na kuliita MSOGA GANG watu wazuri hawafi, walamba asali, wazee wa kutumia neema na fursa za nchi kwa maslahi yao binafsi na watoto wao. Sasa haya makundi yameshalelewa na hivyo yanaendelea kutopendana ndani kwa ndani chamani. Na siasa zao wanazicheza kwa siri sana.
  • uelewa wa wananchi umeongezeka sana, so zile zama za siasa nyepesi za vipande vya kanga na kofia zinaisha muda wake. Watanzania wengi sasa hivi wanajielewa, vijana wengi wamesoma hawana ajira hivyo wakiulizwa na wazazi na ndugu zao huko vijijini sababu ya kutoajiriwa kwao wanawaelimisha wazazi wao huko vijijini kwamba ni kwa sababu ya ufisadi wa ccm na kuwapa ajira watoto wao. Hiyo inakaa kichwani kwa wananchi hivyo wanasubiri 2025
  • wasifiaji au machawa kwa kufupi hawa ni wanafiki wanasifia machoni huku rohoni wana husda. Hawawezi kusema ukweli juu ya uhalisia wa mambo hivyo mwisho wa siku Ccm itajikuta majimbo mengi wabunge wa upinzani watachukua
TIaaatlaaaah &Co wala hawatakuelewa,itabidi wapigiwe matarumbeta masikioni ili akusikie🤭
 
Wilaya ya kiteto ,simanjiro, pangani,lushoto, chura kizowi hajawahi kufika.
Wananchi hawamjui hata Kwa sura
 
Huu upinzani kuiangusha ccm ni sawa na mende kuangusha kabati
Hatuna upinzani wa kukiondoa chama cha mafisadi madarakani
Siku Gen Z wa Tanzania wakiamka wanaiondoa CCM na hizi saccos zinazojiita vyama vya upinzani.
 
Sio busara kujihukumu namna hiyo, kujikatia tamaa ni dhambi isiyosameheka mbinguni.
haya yanayofaywa na akina samia and Co. Ltd, unaweza kumfanyia maiti na si mtu hai! Atuuza tunaona, tena kwa waarabu ambao ana unasaba nao...KWAO ZANZIBAR HAPAGUZI, TUnanyamaza halafu useme sisi tu watu wanaoishi? hapana, sisi ni maiti tu
 
Hizi ni sababu za Samia kutokuwa mgombea urais kupitia ccm 2025.

Na siyo sababu za ccm kushindwa uchaguzi 2025.
 
Unajifurahisha, ccm ya kushindwa ilikuwa ile ya mwendazake.
 
Hizi ni sababu za Samia kutokuwa mgombea urais kupitia ccm 2025.

Na siyo sababu za ccm kushindwa uchaguzi 2025.
Inawezekana vipi hasigombee angali kuna pikipiki zake na mabango nchi nzima kumtangaza yeye tu?
 
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo;

  • ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa macho kuona ufisadi ulivyotamalaki kwenye uongozi huu. Rejea ripoti ya CIG
  • Uzanzibar wake. Huyu mama kaonesha wazi kupendelea Zanzibar kwenye teuzi hata mambo yasioya muungano kaweka ndugu zake wa Zanzibar. Mikopo na pesa nyingi inaelekezwa Zanzibar huku wanaolipia gharama hizo ni watanganyika.
  • Mama kuongoza kampeni ya kuuza mapande ya ardhi ya watanganyika kwa ndugu zake wa uarabuni huku wazawa wakiamishwa kama misukule cheki sakata La Loliondo, DP world n.k
  • Ugumu wa maisha na kupanda kwa bei ya vitu muhimu kama chakula, usafiri. Hapa serikali ya awamu ya 6 imechemka vibaya, vitu muhimu havishikiki sokoni. Chakula bei juu, usafiri bei juu, bill za DAWASA NA TANESCO bei juu kils kitu bei juu kinachofanya maisha ya wananchi kuendelea kuwa magumu. Wananchi wanajihoji au kwa kuwa viongozi hao wanakuta misosi mezani, mafuta na magari bure ndo maana wanashindwa kumpunguzia mzigo hii wananchi??
  • mfumo dume, bado watanzania wengi hawaamini katika mfumo jike kuongoza kwa nafasi kubwa kama mkuu wa nchi. Hivyo wengi wanaona mama samia bado hatoshi kupambana kama rais wa nchi. Ukitaka kuamini hili hata ukiuliza akina mama wa mtaani kuhusu samia wengi wanadai hawaoni anachokifanya, akina mama wao wanamlalamikia juu ya kupanda kwa bei masokoni bila tamko la kudhibiti na bei zikatembea vizuri.
  • makundi ndani ya CCM, ndani ya CCM kumeibuka makundi hatari hasa baada ya kifo cha Magufuli. Kundi la kwanza SUKUMA GANG kundi linalojitanabaisha kwa kupinga ufisadi na kudumisha uzalendo kwa nchi huku likituumu kundi lingine na kuliita MSOGA GANG watu wazuri hawafi, walamba asali, wazee wa kutumia neema na fursa za nchi kwa maslahi yao binafsi na watoto wao. Sasa haya makundi yameshalelewa na hivyo yanaendelea kutopendana ndani kwa ndani chamani. Na siasa zao wanazicheza kwa siri sana.
  • uelewa wa wananchi umeongezeka sana, so zile zama za siasa nyepesi za vipande vya kanga na kofia zinaisha muda wake. Watanzania wengi sasa hivi wanajielewa, vijana wengi wamesoma hawana ajira hivyo wakiulizwa na wazazi na ndugu zao huko vijijini sababu ya kutoajiriwa kwao wanawaelimisha wazazi wao huko vijijini kwamba ni kwa sababu ya ufisadi wa ccm na kuwapa ajira watoto wao. Hiyo inakaa kichwani kwa wananchi hivyo wanasubiri 2025
  • wasifiaji au machawa kwa kufupi hawa ni wanafiki wanasifia machoni huku rohoni wana husda. Hawawezi kusema ukweli juu ya uhalisia wa mambo hivyo mwisho wa siku Ccm itajikuta majimbo mengi wabunge wa upinzani watachukua
Kama uchaguzi ukifanyika ,Mungu ameifuta ccm kitambo kitawala ,sio jambo geni ,Mungu yupo kazin na anatenda
 
Nina wasiwasi na uwezo wa wana ccm tulio wapa kuongoza na kutawala nchi
 
Attachments

  • IMG-20240629-WA0030.jpg
    IMG-20240629-WA0030.jpg
    81.6 KB · Views: 2

Huyu MamaSamia2025 hamna kitu kabisa. Ameuza nchi kwa waarabu wenzake wa DP world na bado anamalizia kuuza kipande kilichobali kwa mabeberu. Sijawahi kuona rais wa ovyo kama huyu tangu nizaliwe.
 
Kuna issue ya Kikokotoo na Kodi zisizolipika bila kusahau ubabe wa TRA na Rushwa kila mahali
 
Back
Top Bottom