Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

nawe pia msalimie swalahe na mama yake
Anaendelea kutukana na kutaka kunifanya mm victim mwambie jamaa ako aache puri
download.jpg
 
MAPUGI yameku-bwekea yakiona wivu mie kuunguruma uelekeo ulioko wewe.
Nawe umekosa subira unaanza kutoa dhihaka, ndio basi tena ahadi yetu imekua VOID mpaka hapa.

Location niliko (Mhunze kwa John Cheyo) na access ya financial services ni more than 11km. Siwezi kutoka more than 6km radius kabla kazi ya NETWORK OPTIMIZATION haijaisha.

Ngoja tuone sasa kama hayo MAPUGI yanayokubwekea yatakupa hata senti tano.
Ah ah ah ah ah ah Mr HKL njooo huku
 
Humble African rudi huku bhana Mdeni wako anasumbua kaishatoka shimoni ss hv anatamba tu na kuwaonea watu kisa kasikia umetoka,Njoo umrudishe shimoni tafadhali anachafua hali ya hewa huku tu nashindwa kupumuaaaa.
 
MAPUGI yameku-bwekea yakiona wivu mie kuunguruma uelekeo ulioko wewe.
Nawe umekosa subira unaanza kutoa dhihaka, ndio basi tena ahadi yetu imekua VOID mpaka hapa.

Location niliko (Mhunze kwa John Cheyo) na access ya financial services ni more than 11km. Siwezi kutoka more than 6km radius kabla kazi ya NETWORK OPTIMIZATION haijaisha.

Ngoja tuone sasa kama hayo MAPUGI yanayokubwekea yatakupa hata senti tano.
aiseeeee mimi niko na wewe tu,ila siyo vizuri kuwaita wenzio mapugi and by the way wewe injinia wa wapi uko primitive hivo?Kuna mobile banking kibao yani leo tu nimevuta mkwanja mpesa kutoka kwa Trump...embu kuwa updated bwana halafu usimind sana hiyo pesa yako ni changamsha genge tu ila ukiituma nitaitumia vizuri tu
 
Back
Top Bottom