Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Ah ah ah ah ah ah Mr HKL njooo huku
 
Humble African rudi huku bhana Mdeni wako anasumbua kaishatoka shimoni ss hv anatamba tu na kuwaonea watu kisa kasikia umetoka,Njoo umrudishe shimoni tafadhali anachafua hali ya hewa huku tu nashindwa kupumuaaaa.
 
aiseeeee mimi niko na wewe tu,ila siyo vizuri kuwaita wenzio mapugi and by the way wewe injinia wa wapi uko primitive hivo?Kuna mobile banking kibao yani leo tu nimevuta mkwanja mpesa kutoka kwa Trump...embu kuwa updated bwana halafu usimind sana hiyo pesa yako ni changamsha genge tu ila ukiituma nitaitumia vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…