Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

aisee kweli wewe ni noarmal People Ndio Maana Ulichepuka Na HKL ila hongera 7bu umechimbua sana /nina wasiwasi mi nina autism
 
Haha nimecheka Sana,alipewa desk kabisa wazae nae,

Nilivyoona screenshot nikashtuka nikajua me ndo muhusika aisee
 
Eti Humble ulisema HKL(hakuna kusoma kufaulu lazima) nimecheka sana,uzuri nyinyi wote wasomi na mko vizuri kichwani na wote mna maneno ya shombo,ngoja niwafaidi hapa.
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] HKL VS PCM
 
Wewe Raynavero mimi pia EGM,humble imemuuma sana kuambiwa kasoma hkl,na kweli hiko kikomb ni cha failures,ya kuvutavuta kama vile ualimu ilivyokuwaga kote umekosa anaulizwa "hata ualimu pia amekosa?" japo sikatai kuna wanaosomea hobby ila wengi ndo hali zinakuwa tia maji tia maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…