Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best yangu kaa mbali kidogo damu isikurukie... Nakufurahia na kukupenda sana.Ngoja niweke siti kabisa naona kuna hali ya hewaa hapaaa nzuri
Hahahha Padri Mcharo itakuwa field alifanya Sant gasper itigiBest yangu kaa mbali kidogo damu isikurukie... Nakufurahia na kukupenda sana.
Niache nimbinye makende huyu ndugu yangu mzoa nywele za saluni. [emoji23]
Ahahaha!! Usinchekeshe DemissHahahha Padri Mcharo itakuwa field alifanya Sant gasper itigi
[emoji3][emoji3][emoji3] inabidi tu ucheke maana hamna namnaBest yangu kaa mbali kidogo damu isikurukie... Nakufurahia na kukupenda sana.
Niache nimbinye makende huyu ndugu yangu mzoa nywele za saluni. [emoji23]
Ni hii @Humble,alama gani?alama sijaiona
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mi hata moja sijui!Humble nifundishe kutag majina mawili kama lako na la engineer huwa sijuagi,najua kutag moja kama la Raynavero
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] HKL VS PCMEti Humble ulisema HKL(hakuna kusoma kufaulu lazima) nimecheka sana,uzuri nyinyi wote wasomi na mko vizuri kichwani na wote mna maneno ya shombo,ngoja niwafaidi hapa.
Ndo hivyo akajifunza hapo mambo ya Upadri hahaha maana pale wamejaaAhahaha!! Usinchekeshe Demiss
PCM vs HKL sisi w ECA na HGE yetu machoNgoja niweke siti kabisa naona kuna hali ya hewaa hapaaa nzuri
Mm la saba msoma comment sina teamPCM vs HKL sisi w ECA na HGE yetu macho