Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Kuna tofauti kubwa kati ya kukremu na kuelewa somo. Usipoelewa lazima ukremu, ukielewa haina haja ya kukremu maana ni kusahau si rahis.


Kaka huwezi kuelewa bila kukariri/kuhifadhi.

Tatizo tamko kukremu/kukariri/kuhifadhi hutumika vibaya na hapo ndio kuna matatizo.

Tulio wengi tulitumiapo tamko hili huwa tunalipa maana au hali ya uoungufu yaani dosari.

Kwa ufupi katika elimu kukariri/kuhifadhi na ndugu wawili mmoja hasimami bila ya mwingine.
 
Leo mafahali wawili wamekutana Kiranga Humble African referee ngoja nimpe Nyani Ngabu
 
Yaani huu uzi umeniumiza maneno mnayoanza kutumia,kwaherini naona hapa si mahali kwangu tena,ulikuwa kwa ajili ya utani naona sasa matusi yanatawala.
 
Kuna kaukweli fulani mana hata mimi nishapigwa sana na matapeli wa mtandao sijui taarifa zangu walizitoaga wapi
 
hawezi kuingia anga zangu hata ukimtag. ananikwepa kama vile kahaba anavyomkwepa mwanaume asiye na uwezo wa kumlipa pesa yake baada ya tendo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Mziki wako wanaujua Wakenya kule Kenya forum..huwa unazaa nao kama morani na akina mama yoyooo... Akikusumbua sana nakuja tunakuwa tag team!

Two is better than one!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…