Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Washazoea kukremu sasa maisha hayana kukariri wala rehearsal!!
Kuna tofauti kubwa kati ya kukremu na kuelewa somo. Usipoelewa lazima ukremu, ukielewa haina haja ya kukremu maana ni kusahau si rahis.
 
Huwa sina kawaida ya kufurahia maanguko ya wengine na kufanya utani kwenye habari za depression na suicide.

Schadenfreude is not my thing.
Kama vile wewe ambavyo unafurahia kuamini Mungu hayupo na ukiendelea kummock in whichever ways na Mimi nafurahia kumtania mtani wangu Kwa ishu za depression and suicide.

So stick kwenye lane yako ya upagani niache kwenye lane yangu.

Matter of fact, umeambiwa sisi tuna ishu zetu za kutaniana since way back wewe unataka kununua ugomvi... Au na wewe ni engineer? Aliekuwa T.O? Mnasumbua sana nyie.
 
Last edited:
Hapana nipe nondo Mh....

Ngoma fulani hivi ya wachawi/ wanga, wenyewe wanaimba

"Cheketu cheketu, mahepeee
Nyama ya mutu, mutamuuuuu
Kasoro kidole cha mwishooo"

Ukikaa kaa na wazee wazee wa Kizaramo wanaojua habari za Wazaramo ukiwauliza ngoma ya mahepe wanaweza kukutajia.

Sasa hata hapa naona kuna watu wanachekelea depression na suicide za watu wengine kama wanga na wachawi wanaocheza ngomaza mahepe.

Yani mtu kupata kuwa T.O halafu akapata maisha mabaya baadaye badala ya kuwa kitu cha kusikitika, watu wanafurahia na kuchekelea.

Ndiyo maana hatuendelei.
 
Habar bila Vithibitisho hiyo sio Habari bali ni Rumors!!

ungeweka hapa kua TO fulan anamaisha haya nahaya nahaya !! .

Hata ivo Suala la Maisha lakufanikiwa kimaisha nilamtu namtu. Mwingine kufanikiwa kielimu alafu akamiliki nyumba na usafiri nakujipatia huduma hayo ni mafanikio maisha .

Mwingine atataka aende mbele zaidi ya hapo ndo atajiona mwenye mafanikio.

Mimi nachoona..CCNP yupo sahihi ktk upande wake.

Nawewe uko sahihi ktk upande wako !!

Mambo ya Depression huwa hayaangalii elimu wala mafanikio .
 
Ngoma fulani hivi ya wachawi/ wanga, wenyewe wanaimba

"Cheketu cheketu, mahepeee
Nyama ya mutu, mutamuuuuu
Kasoro kidole cha mwishooo"

Ukikaa kaa na wazee wazee wa Kizaramo wanaojua habari za Wazaramo ukiwauliza ngoma ya mahepe wanaweza kukutajia.

Sasa hata hapa naona kuna watu wanachekelea depression na suicide za watu wengine kama wanga na wachawi wanaocheza ngomaza mahepe.

Yani mtu kupata kuwa T.O halafu akapata maisha mabaya baadaye badala ya kuwa kitu cha kusikitika, watu wanafurahia na kuchekelea.

Ndiyo maana hatuendelei.
Mh hawa watu wanajuana lakin....
 
Kiranga relax,hawa watu wanajuana na injinia anazingua tu humu ila yuko vizuri sana kumpita Humble African tatizo mleta mada kasoma HKL ha ha ha ha ha
Alivyokuwana na akili ndogo huyu engineer anasoma huko aliko anajua umemnadi yeye kumbe...! Common sense ndio akili ya kwanza ya mwanadamu ila hawa maengineer huwa hawana hii akili.
 
Huwa sina kawaida ya kufurahia maanguko ya wengine na kufanya utani kwenye habari za depression na suicide.

Schadenfreude is not my thing.
we jamaa bana kwa mbwembwe...

hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.

lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
 
Ah ah ah ah Nimecheka sana aitheee
 
Bado nitaendelea kuzingatia haya maneno ya jack ma.
20180730_233154.jpg
 
vijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.

huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.

sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.

kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
Twakusikiliza
 
we jamaa bana kwa mbwembwe...

hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.

lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Ahahaha!! Kadoda nimecheka sana mkuu kwa haya maoni yako. Licha ya maandishi yangu kuwa na mapungufu Lakini yamefanikiwa kuonyesha kitu kuhusu watu wa Kariba yake.

Yaani watu wengine ni ujuaji na superiority complex isiyo na msingi... Umemuadhiri!
 
Kama vile wewe ambavyo unafurahia kuamini Mungu hayupo na ukiendelea kummock in whichever ways na Mimi nafurahia kumtania mtani wangu Kwa ishu za depression and suicide.

So stick kwenye lane yako ya upagani niache kwenye lane yangu.

Matter of fact, umeambiwa sisi tuna ishu zetu za kutaniana since way back wewe unataka kununua ugomvi... Au na wewe ni engineer? Aliekuwa T.O? Mnasumbua sana nyie.
Yani hapa tu ushasumbuka mara?

Na wewe ni kati ya wenye ugonjwa wa hao ma TO wa kuwaka bila sababu?
 
Kiranga relax,hawa watu wanajuana na injinia anazingua tu humu ila yuko vizuri sana kumpita Humble African tatizo mleta mada kasoma HKL ha ha ha ha ha
Mimi nimerelax by defaul, genetically.

Tatizo nime realx kupitiliza mpaka nikiweka mguu kwenye hammock watu wanaona nawapiga teke kwa kuwataka tupigane!
 
Back
Top Bottom