Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaziamwanaume wewe,mimi nakula zenu ila zangu zinaliwa na jinsia yangu
aaaa kashindwa hata kukutumia buku 2 vocha?halafu eti wewe ndo referree wake kwangu mhhhhhWaoooh my dada nashukuru Ambiele huyu hafai toka nihamie maporini napata tu shida duka lipo km 3
Piga pichaaa bhn nitakwangua mwenyewNimekwambia vuta subra
Vocha nimenunua muda tuuu sema naona uvivu kuikwangua na kuituma
Kumbe bado hujajua moyo wa amu wwHahahah anavyokupenda atatuma
amu
Poa ngoja niipige pichaPiga pichaaa bhn nitakwangua mwenyew
Ahahahahahaha Humble unafaa uwe mwanasiasa kabisaNilipoiona ile post nikajawa na hasira sana kuna kijana akanisogelea akaniambia humble kuna panga mbili hapa...ghafla fan wangu FRESHMAN akamkata sikio...nikamwonea huruma nikalirudisha sikio lake.
Nikasikia tena anajiita mfalme wa ma engineer!? Nikasema mfalme? Ngoja nikamwanzishie Uzi? Ndio nikaanzisha huu Uzi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Best kama vipi kuwa promota utuandalie mpambano official kwenye Uzi tofauti na huu wenye kichwa cha habari ....HUMBLE AFRICAN VS CCNP ENGINEER RELOADED.
Nitashukuru sana kushiriki hilo pambano.
Mbahili huyu ndo maana namuomba vocha week nzima mpaka atumeeaaaa kashindwa hata kukutumia buku 2 vocha?halafu eti wewe ndo referree wake kwangu mhhhhh
Nitumie vocha nikusaidieKumbe bado hujajua moyo wa amu ww
Uyo maza mi ananiona kama kitu gan sijui acha tuuu jiran yangu
NasubiriPoa ngoja niipige picha
Hata sijui namfananunulie ni tumatunda [emoji23][emoji23]@amu na Mama Sabrina wana background ya Mwanza wanazijua sungwi kwa uzuri...wanisaidie kukufafanulia maana sijui hata nizielezeeje sungwi.
aaaaaa your promise is valid or void?Ok mwanamke mwerevu... Hivi ni kweli una watoto watatu??
Ah ah ah mazingira yalikuwa magum jaman uyo jiran yangu anajuaaaaa kashindwa hata kukutumia buku 2 vocha?halafu eti wewe ndo referree wake kwangu mhhhhh
Ah ah ah ah ah sasa kunishtak kwa amu ndio kigezo cha ww kupata iyo vocha....Mbahili huyu ndo maana namuomba vocha week nzima mpaka atumee
Hahahaha saa 6 hii inaelekea saa 7 hujalalaAh ah ah mazingira yalikuwa magum jaman uyo jiran yangu anajua
Mtu kama hakutak hakutak tuuu jiranNitumie vocha nikusaidie
Niko zangu kwa mganga utakuta hewaaaaAh ah ah ah ah sasa kunishtak kwa amu ndio kigezo cha ww kupata iyo vocha....
Nakesho nakuja Morena kuchukua silver yangu muoneee vileeeee
Yale mambo ya kujipiga risas sitak mimNitumie vocha nikusaidie
Hivi na wewe huwa unalizwaMtu kama hakutak hakutak tuuu jiran
Ukifoc sana mapenz mwisho utakuja lia kama chiz